Sio kila mfuko unaoachwa kwenye gati ea kufungua vingine sumu

Sio kila mfuko unaoachwa kwenye gati ea kufungua vingine sumu

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Tumepita hapa Magomeni tukaona watu wanakimbizana kushuka kwenye vioo vya basi nikahisi linawaka moto dereva wetu akasimamisha, kusogea naona watu wanashuka na kukimbia

Kuulizia tunaambiwa kuna mtu kaacha mfuko alie pembeni akahisi una kitu alipofungua ni nyuki wanapishana kwenye viti na kuuma watu

Aisee naamini huyu bwana hakuacha kwa bahati mbaya wamama wametoka wamevimba jamani uangalii mara mbili
nyuki sio kabisa

Mnapoona vimfuko vimeachwa kwa basi msikimbilie kufungua mtalia.
 
Back
Top Bottom