sio kwa chuki hii aiseeeeeee!

sio kwa chuki hii aiseeeeeee!

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
17,179
Reaction score
26,188
Jamaa mmoja alikuwa na bifu la hatari na jirani yake,basi siku moja akatokewa na Jini likamwambia,nimejisikia kukupa zawadi!Chagua kitu chochote nami nitakupa ila jirani yako nitampa mara mbili ya kile ukitakacho!
Jamaa:Mmmmh nitoe jicho moja!
 
Back
Top Bottom