Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,179 Reaction score 26,188 Sep 11, 2016 #1 Jamaa mmoja alikuwa na bifu la hatari na jirani yake,basi siku moja akatokewa na Jini likamwambia,nimejisikia kukupa zawadi!Chagua kitu chochote nami nitakupa ila jirani yako nitampa mara mbili ya kile ukitakacho! Jamaa:Mmmmh nitoe jicho moja!
Jamaa mmoja alikuwa na bifu la hatari na jirani yake,basi siku moja akatokewa na Jini likamwambia,nimejisikia kukupa zawadi!Chagua kitu chochote nami nitakupa ila jirani yako nitampa mara mbili ya kile ukitakacho! Jamaa:Mmmmh nitoe jicho moja!