rudi shule haraka sana.Wewe unawapoteza raia, ukiwa unajitambulisha hutakiwi kutamka neno "naitwa", unaitwa na nani?
Jitambulishe kwa kusema kwa jina ni ........ Kama unataja majina yako na la Baba au ukoo sema kwa majina ni ..........
haelewi kitu mpeni pole mana angejua kwamba wizara ya elimu imeruhusu watoto ubadilishaji majina sekondari endapo hayaendani na cheti cha kuzaliwa asingesema utumbo huorudi shule haraka sana.
Wengine tulifeligi kiswahili lov
Juma kapalatu anawaelimisha sana lakini vichwa ngumu hawaelewi.Unajua kuna wasomi wamesoma mpaka Masters PhD ila cha kushangaza mtu huyu anapoambiwa jitambulishe anaanza kwa kusema "kwa majina ninaitwa........" kaka na dada zangu sio kwa "kwa majina" ila unapojitambulisha kwa Kiswahili sahihi unatakiwa useme "kwa jina ninaitwa......" kisha unataja jina lako kamili kama lilivyo lote.
Unaposema "kwa majina ninaitwa...." maana yake unatakiwa utaje majina yako tofauti tofauti yaan ukisema "kwa majina ninaitwa...." basi taja unaitwaje kwa majina tofauti tofauti.
Mfano: kwa majina ninaitwa John Pius Chilangali, John Pius Fransis Chilangali, John Pius Fransis Joseph Chilangali na John Pius Fransis Joseph John Chilangali.
Hayo yote ni majina yako kwa mnyumbuliko tofauti tofauti lakini unapotaja jina moja kamili unatakiwa kusema "kwa jina ninaitwa...." kisha taja jina lako lote yaan jina kamili John Pius Chilangali. Ishia hapo.
Nimesikitika sana nimesikiliza Redio moja wasomi wenye elimu kubwa tu eti wanasema "kwa majina ninaitwa...." kisha anaishia kutaja jina moja ukitaja jina moja sema kwa jina ninaitwa sio kwa majina ninaitwa.
Nimemaliza mjirekebishe.
Ni hivi majina ya mtu mmoja hayana wingi,yaani una majina matatu said abdallah kichwa wazi haina wingi hivyo husemi kwa majina naitwa said abdala kichwa wazi.Isipokuwa unapokuwa na orodha ya majina ya tu wengi hapo ndipo uwingi unaingia,mfano ifatayo ni orodha ya majina ya wachezaji wa yanga,ndipo unayapanga hayo majina katika mlolongo.Pia kiswahili sanifu husemi ninaitwa said abdala kichwawazi,au wananiita said abdala kichwa wazi bali unatakiwa kusema jina langu ni said abdala kichwawaziUnajua kuna wasomi wamesoma mpaka Masters PhD ila cha kushangaza mtu huyu anapoambiwa jitambulishe anaanza kwa kusema "kwa majina ninaitwa........" kaka na dada zangu sio kwa "kwa majina" ila unapojitambulisha kwa Kiswahili sahihi unatakiwa useme "kwa jina ninaitwa......" kisha unataja jina lako kamili kama lilivyo lote.