Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha?
Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi walishapuuza chama unachokimiliki kama kuku wa kufuga wa mayai.
Unakuwa na kundi dogo kama la akina Mwipaya unakuwa unawapa kiduchu huku makamanda wengi wakiambulia patupu.