Bila Mbowe hakuna upinzani Tanzania!Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha?
Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi walishapuuza chama unachokimiliki kama kuku wa kufuga wa mayai.
Unakuwa na kundi dogo kama la akina Mwipaya unakuwa unawapa kiduchu huku makamanda wengi wakiambulia patupu.
View attachment 3060897
Subiri wachagga waliomo humu watakavyotoa mapovuKama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha?
Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi walishapuuza chama unachokimiliki kama kuku wa kufuga wa mayai.
Unakuwa na kundi dogo kama la akina Mwipaya unakuwa unawapa kiduchu huku makamanda wengi wakiambulia patupu.
View attachment 3060897
Mbona mnasemaga Mbowe ni bilionaire,huwa umilionera aliupata toka kenya sio?Ndio maana mnaitwa NyumbuMbowe Ndio chanzo Cha umaskini wa Taifa!? Nijitahidi kutafakari ila nashindwa kutambua
Upinzani wa kutumia gia ya ukabila ni uyaunaniBila Mbowe hakuna upinzani Tanzania!
Ongea point Ndugu, Mimi sipendi siasa, ila nataka nijue mbowe ameshawahi kuongoza serekali ipi hapa Tanzania!?Mbona mnasemaga Mbowe ni bilionaire,huwa umilionera aliupata toka kenya sio?Ndio maana mnaitwa Nyumbu
Hakuna ukabila hapo; Mbowe, Mrema, Mbatia, Mvungi, Kyara, Salesini, Mtei na wengine wengi kutoka KβNjaro ndio waasisi wa upinzani Tanzania. Hakika kabla ya hapo miaka ya 1950 upinzani ulianza na Mangi Mkuu Marealle ambaye alikuwa tayari na bunge na serikali yake ya Chaggaland. Bila hawa watu hawa hakuna upinzani Tanzania! Waachwe wakamilishe kazi waliyoianza la sivyo tuwaachie Waarabu watafune nchi.Upinzani wa kutumia gia ya ukabila ni uyaunani
CCM ni pasua kichwa mkuuMbowe Ndio chanzo Cha umaskini wa Taifa!? Nijitahidi kutafakari ila nashindwa kutambua
Kwani ulitaka aongeze serikali mkuu? Ametumia gia ya ukabila na ukanda kujipatia riziki mkuu wangu .Na atalaaniwa kwa kupandikiza kizazi kinachojua kupinga tu bila kuwa na mmbadala wanachopinga zaidi ya kusema komaa kamanda πββοΈπββοΈOngea point Ndugu, Mimi sipendi siasa, ila nataka nijue mbowe ameshawahi kuongoza serekali ipi hapa Tanzania!?
Kwa unatagemea hawa wapuuzi ndio wakamate nchi ?Hakuna ukabila hapo; Mbowe, Mrema, Mbatia, Mvungi, Kyara, Salesini, Mtei na wengine wengi kutoka KβNjaro ndio waasisi wa upinzani Tanzania. Hakika kabla ya hapo miaka ya 1950 upinzani ulianza na Mangi Mkuu Marealle ambaye alikuwa tayari na bunge na serikali yake ya Chaggaland. Bila hawa watu hawa hakuna upinzani Tanzania! Waachwe wakamilishe kazi waliyoianza la sivyo tuwaachie Waarabu watafune nchi.
Nyumbu bana ,huyu mzee sijui aliwapa nini ,ukiwaluiza upinzani maana yake hata hawajui aiseeMbowe ndiye kiongozi pekee wa upinzani hapa Tanzania
Hivi mzee mbowe ni mbinu gani anatumia kuendelea kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa hii SACCOSHata ccm nayo ishafeli inatumia dola kuzidi kubaki madarakani na kuiba tu.
Taifa Lina rasilimali Nyingi sana, ila pia kama wewe unahisi ukabila unalipa pia anza na wewe kuutumia!! Ila nakusihi ujenge hoja watu watakuelewa zaidi, ni wapi tunahitaji kubadilika na sio kumshambulia mtu binafsiKwani ulitaka aongeze serikali mkuu? Ametumia gia ya ukabila na ukanda kujipatia riziki mkuu wangu .Na atalaaniwa kwa kupandikiza kizazi kinachojua kupinga tu bila kuwa na mmbadala wanachopinga zaidi ya kusema komaa kamanda πββοΈπββοΈ
Kweli unaacha kuwafikishia habari wala kwa urefu wa kamba unahangaika na wanaodhulumiwa na wala kwa urefu wa kamba?Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha?
Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi walishapuuza chama unachokimiliki kama kuku wa kufuga wa mayai.
Unakuwa na kundi dogo kama la akina Mwipaya unakuwa unawapa kiduchu huku makamanda wengi wakiambulia patupu.
View attachment 3060897
Kufeli kwa ccm na kufeli kwa Chadema nani anapata hasara hapo?Hata ccm nayo ishafeli inatumia dola kuzidi kubaki madarakani na kuiba tu.
Ccm wameuza rasilimali zote zimeisha sasa wanataka kubafili Sheria kuchimba madini mbuga za taifaKama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha?