Sio kwamba nakutisha, ila huu ndio ukweli

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
KABLA YA NDOA..
mkipanga appointment anakuja
amepigilia viwalo, amevaa kiputo, kimemtoa,
ananukia, ametengeneza nywele afro
kinky, ametinda nyusi vizuri aje kukuimpress, foundation make-up imekolea..mnaenda shopping, mnakula lunch unamrudisha... hutaona
rangi zote, na zingine anazificha makusudi hadi
uingie kingi..
OA SASA UONE...Mkilala anakoroma kama gari ya
takataka ya manispaa, hajui kupika hata
chapati, kumbe make-up zinambeba, akitoka kuamka ana chunusi nyingi kuliko vinyweleo,, hafui boxer
mwezi..chupi zake zina upinde wa mvua..haogi..ana
hasira..akienda 'juani' haongei na anataka kuku
tu...Hapo ndo utajua...Hapa sijaongelea mawifi na
mashangazi na vikorokoro vya upande wa
pili..Utatoka jasho la meno..

Sikutishi,
ila wengi hamuwazi haya,ukisikia neno
NDOA basi taswira unayopata ni Suti Nyeusi..Matarumbeta...Mashosti wanacheza Kwaito Ukumbini...
Marriage is more than that....Usingizi ni mtamu sana
(Uchumba) ila Kifo(Ndoa) chataka maandalizi...Unaweza-mchukia huyo Mke/mme wiki ya kwanza tu...Do your Homework well before you fail your
National Exam tomorrow.
 
Hahahaaa mkuu unapigaje kampeni na dola uchaguzi umesha shinda,acha wakolome
 
Je wewe una ndoa? unazijuwa changamoto za kuishi single?

Kuna faida nyingi kuliko hasara katika ndoa, cha msingi tafuteni wake wa kuoa si kama Joyce Kiria mwenye experience ya Divorce au Dida.
 
Sina hakika na mengine, lakini kuhusu kukoroma ni maradhi aiseeee
 
Je wewe una ndoa? unazijuwa changamoto za kuishi single?

Kuna faida nyingi kuliko hasara katika ndoa, cha msingi tafuteni wake wa kuoa si kama Joyce Kiria mwenye experience ya Divorce au Dida.
Kumbe????
 
wanajiachia wanasahau wenzao huko nje bado wanajikoki,na jamaa alikupenda kwa kujikoki mwishowe wanalala mika mmewe anachepuka
Yale mashamSham ya mwanzo yote yanatoweka baada ya kuoelwa,
Hapo ndo muda sasa wa michepuko kuwa dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…