Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hii mbona ni taarifa ngeni kwangu? kimetokea nini? Au ikiwezekana ni-tag Daudi MchambuziSTUNTER jana ulikuwa wapi Joyce Kiria anatuzalilisha ?
NOVIDA sio nzuri kwa afya.Agiza novida kwa mangi nakuja kulipa
Nitafurahi kama ukininunulia red lebelNOVIDA sio nzuri kwa afya.
nakuaminia mkuu umenena vyemaJe wewe una ndoa? unazijuwa changamoto za kuishi single?
Kuna faida nyingi kuliko hasara katika ndoa, cha msingi tafuteni wake wa kuoa si kama Joyce Kiria mwenye experience ya Divorce au Dida.
Mkilala anakoroma kama gari ya
takataka ya manispaa