Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shujaa Magufuli
Patamu hapoWakati Wamarekani, Waingereza na Wafaransa wamekaliwa kooni na wafashisti wa Ujerumani na Italia, waliamua kuunda urafiki na maadui wao wa muda mrefu, Wakomunisti wa Urusi na Mafioso wa Sicilia. Ulikuwa ni uswahiba wa maslahi (An Alliance of Convenience). Huu uswahiba ndiyo ulisaidia kuziangusha Ujerumani na Italia.
Wakati Raisi Magufuli amewakalia kooni CCM, maadui wa muda mrefu kama kutoka megenge hasimu ndani ya nchi, upinzani na serikalini yaliungana. Ulikuwa ni uswahiba wa maslahi (An Alliance of Convenience). Kuna wakati Raisi Samia alikuwa anawaunga mkono CHADEMA, pia kuna wakati vikao vya siri vilifanyika baina ya viongozi wa awamu ya nne na wapinzani. Muungano ule ndiyo ulituletea huyu mama.
Hichi kinachoendelea nchini sasa hivi, kimeanza kutengeneza kundi jingine ambalo limeungana kimaslahi (An Alliance of Convenience). Kuna msemo wa wazungu unasema, "An Enemy of My Enemy Is My Friend". Kiufupi mambo yatakuwa mengi mno, maana dini, utanganyika na uzanzibari vinahusika.....
Muda utasemaSema unamkumbuka. Usiseme wanamkimumbuka.
Alafu hamjamaliza matanga hapo chato?
Patamu hapo
Wakati utaongea kama unavyoongea sasa hiviHata kama ugali ukiungua ( Samia) huwezi kuufananisha na kinyesi (jiwe).
Pamoja na kwamba rais Samia anakosea kamwe haiwezi kumfanya jiwe kuwa rais mzuri
Hii nchi ina sarakasi nyingi mno, kibaya zaidi raia wanasombwa tu na ngoma za hao wapigaji na kufuata mdundo kumbe wanatumika tu kwa niaba ya wanasiasa maslahi.Wakati Wamarekani, Waingereza na Wafaransa wamekaliwa kooni na wafashisti wa Ujerumani na Italia, waliamua kuunda urafiki na maadui wao wa muda mrefu, Wakomunisti wa Urusi na Mafioso wa Sicilia. Ulikuwa ni uswahiba wa maslahi (An Alliance of Convenience). Huu uswahiba ndiyo ulisaidia kuziangusha Ujerumani na Italia.