Elimu inayotakiwa ni ipi? Ulianza kuwafahamu lini? Je kuna kitu wanafanya ambao " wenye elimu inayotakiwa " hawafanyi.?Kama hawana elimu inayotakiwa waondolewe tu.
Hao twajwa hapo huwezi kuwalinganisha na miamba kama Masod na Fetty miamba wa uchambuzi kwa undaniBaada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️
"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji kutangaza kwa kizingizio kuwa hawana vigezo vya kitaaluma.
Kwa utafiti nilioufanya wanahabari waliozuiwa na Bodi ya Ithibati sio wakosoaji tu, Bali ni WOTE ambao hawajasomea taaluma ya uandishi wa habari; nitaorodhesha angalau wachache wasiotajwa makusudi kabisa na wakosoaji:
1. Juma Lokole ameondolewa
2. Mwijaku ameondolewa
3. Babalevo ameondolewa.
4. Maulid Kitenge ameondolewa
5. Zembwela ameondolewa
6. Mpoki ameondolewa
7. Idris Kitaa ameondolewa
8. Masanja Mkandamizaji ameondolewa
9. Dina Marios ameondolewa
10. Swebe Santana ameondolewa
Hawa WOTE ni watangazaji katika vituo vikubwa hapa nchini kwa miaka 7 mpaka 20, lakini watu hawasemi kuwa wameondolewa hewani, wanasema ni wachache tu ambao ni WAKOSOAJI jambo ambalo si la kweli kabisa.
Kuweza kulifanya jambo ambalo ujasomea sawa na aliyesomea haiwezi kuwa sababu ya wao kukalia ofisi.Je kuna kitu wanafanya ambao " wenye elimu inayotakiwa " hawafanyi.?
Je unaweza ukapata udaili Chuoni bila kuwa na cheti cha form four ?Acha uongo wako wewe.
Maulidi alisoma mass comm open University na kina Abdullah majura.
Dina marious alisoma jounalism arusha huko.
Huwezi. Index number ya form four ndiyo kila kituJe unaweza ukapata udaili Chuoni bila kuwa na cheti cha form four ?
Hivi huyo no. 4 M. Kitenge hajasomea??Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️
"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji kutangaza kwa kizingizio kuwa hawana vigezo vya kitaaluma.
Kwa utafiti nilioufanya wanahabari waliozuiwa na Bodi ya Ithibati sio wakosoaji tu, Bali ni WOTE ambao hawajasomea taaluma ya uandishi wa habari; nitaorodhesha angalau wachache wasiotajwa makusudi kabisa na wakosoaji:
1. Juma Lokole ameondolewa
2. Mwijaku ameondolewa
3. Babalevo ameondolewa.
4. Maulid Kitenge ameondolewa
5. Zembwela ameondolewa
6. Mpoki ameondolewa
7. Idris Kitaa ameondolewa
8. Masanja Mkandamizaji ameondolewa
9. Dina Marios ameondolewa
10. Swebe Santana ameondolewa
Hawa WOTE ni watangazaji katika vituo vikubwa hapa nchini kwa miaka 7 mpaka 20, lakini watu hawasemi kuwa wameondolewa hewani, wanasema ni wachache tu ambao ni WAKOSOAJI jambo ambalo si la kweli kabisa.
Huu wakwako ni upotoshaji aisee, siku hizi vichwa vya watu vimefunguka sana, vina elimu, vinapambanua sana mambo huwezi kuwadanganyq kwa propaganda za hivi...baadhi yao ukiletewa vyeti kuonyesha mahali walikosomea utakimbia weweBaada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️
"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji kutangaza kwa kizingizio kuwa hawana vigezo vya kitaaluma.
Kwa utafiti nilioufanya wanahabari waliozuiwa na Bodi ya Ithibati sio wakosoaji tu, Bali ni WOTE ambao hawajasomea taaluma ya uandishi wa habari; nitaorodhesha angalau wachache wasiotajwa makusudi kabisa na wakosoaji:
1. Juma Lokole ameondolewa
2. Mwijaku ameondolewa
3. Babalevo ameondolewa.
4. Maulid Kitenge ameondolewa
5. Zembwela ameondolewa
6. Mpoki ameondolewa
7. Idris Kitaa ameondolewa
8. Masanja Mkandamizaji ameondolewa
9. Dina Marios ameondolewa
10. Swebe Santana ameondolewa
Hawa WOTE ni watangazaji katika vituo vikubwa hapa nchini kwa miaka 7 mpaka 20, lakini watu hawasemi kuwa wameondolewa hewani, wanasema ni wachache tu ambao ni WAKOSOAJI jambo ambalo si la kweli kabisa.
ndio gentleman,Je unaweza ukapata udaili Chuoni bila kuwa na cheti cha form four ?
Je VETA wanatoa udahili wa Uandishi wa habari .ndio gentleman,
unaweza kupata udahili kwenye vyuo vya VETA bila kua na cheti cha form four lakini pia bila hata kufikia tu elimu ya form four 🐒
Teknolojia ya habari na Mawasiliano (ICT) ni miongoni mwa kozi za muda mrefu VETA, ndani ya kozi hii muhimu unaweza kujifunza uandishi wa habari na mambo mengine yanayofanana na hayo 🐒Je VETA wanatoa udahili wa Uandishi wa habari .
So wanaweza kufika hapo but I'm not sure kuhusu hiloTeknolojia ya habari na Mawasiliano (ICT) ni miongoni mwa kozi za muda mrefu VETA, ndani ya kozi hii muhimu unaweza kujifunza uandishi wa habari na mambo mengine yanayofanana na hayo 🐒
take it from me,So wanaweza kufika hapo but I'm not sure kuhusu hilo
Waliopitia mfumo wa veta jeJe unaweza ukapata udaili Chuoni bila kuwa na cheti cha form four ?