Sio lazima umuamini mama. Hata Marekani na Ulaya wanatuonea wivu kuongozwa na Mama

Sio lazima umuamini mama. Hata Marekani na Ulaya wanatuonea wivu kuongozwa na Mama

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
594
Reaction score
1,061
Linapo kuja swala la MAMA hauwezi ukasema unaimani/una matumaini nae, kitendo hicho kinakuwa sio sawa kwasababu unakua hauna hakika nae...

Na wala haitakiwi umuelewe kwasababu inatafsirika kama unalazimika/unalazimika kumuelewa.

Ila uelewa/ufahamu na utambuzi uliopo juu ya mama ni waasili mtu anazaliwa nao, na mtu anakua anafahumu na kuthamini uwepo wake.

Mama ni nguzo ya maisha, ukitaka kuhakikisha hili chunguzi tabia za kisaikolojia kwa mtu ambaye alikuwa yatima tokea mdogo na mtu ambae amepata malezi na mama yake mzazi.

Watu wazima waliopitia hari ya uyatima utotoni kuna instincts/sifa kadhaa zilififia/hazikuwika hasa instict ya kujiamini katika jamii, hata kama mtu huyo ni mbavu.

Ila kwa waliopata malezi ya mama pasipo kujali mama alikua na hali gani, mtu huyo hata akiwa na kasoro yakimaumbile kuna tabia kadhaa zitaimarika na kuwika kwake, mfano mtu kimbaombao lakini bado utakuta anajiamini sana.

Sasa hiyo ni mtizamo katika ngazi ya familia(jamii).

Ngazi Ya Taifa.
You know what? It is not enough to be in a right place at a right time rather you have to be a right person in a right place at a right time.

MAMA wa Taifa ni mtu sahihi na yuko katika wakati sahihi tatizo ni moja tu kwa kiwango fulani yupo mahali sahihi ila asilimia kubwa ya components za mahali hapo zina mtizamo tofauti na MAMA.

Sasa sijui MAMA yupo mahala sahihi ila components ndio zipo mahala pasipo sahihi kwao au components zipo mahala sahihi ila MAMA ndio yupo mahala pasipo sahihi kwake.


Vipi kama angekua MAMA wa Marekani, Uingeleza au Ujerumani!?

Ninauhakika mfumo wa USA wanatamani kua na MAMA na wanatuonea wivu na watahakikisha term ijayo wanampata mwanamama machachari. Bila hivyo naweza kusema hawana Democratic Maturity, (DM). Na kwa hili tupo mbele ya muda dhidi ya ma-icon wa Demoklasia.

Kwahiyo changamoto tuliyonayo sisi kama components wa mahali hapa ni mtizamo(perspective s||percieve character ya mtu)

Ni sawa sawa na abilia wanaopendelea/chaguo train ya mchongoko na bapa ni tofauti ya kimaumbile ila route, destination ni ile ile masuala ya speed Nauri na comfortability, body ya reli ndio itapanga.

20250308_120534.jpg

Picha kuwakilisha kina MAMA wote katika siku ya Wana wa kike duniani.

SIEMPRE KAZI IENDELEE WANA WA KIKE...🤝🏿


PARASITOIDS HOYEEE
 
Back
Top Bottom