CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kwenye Kilimo kuna Chaine kubwasana.
1. Kuna wauzaji wa pembejeo za Kilimo hao nao ni wakulima.
2. Kuna Wanao toa mikopo ya Kilimo pekee.
3. Kuna wakulima wenyewe.
4. Kuna Processor wa Mazao ya kilimo
5. Kuna Wauzaji wa Product za Kilomo.
Sasa wengi wetu kila mwenye mtaji anataka alime tikitiki mara afuge kuku. kila anaye otea pesa basi anataka afuge au alime.
Je hatuwazi kuanzia pale wakulima na wafugaji wabapo ishia?
Je kwenye Mchakato wao mzima hakuna Idea pale?
Nazani wengine tuwaze Kuongezea Thamani, tuwaze Kuwauzia Pembejeo.
Sio lazima Kila mtu afuge Broiler, Wengine tuwaze kuchakata hao Broiler wanao fugwa na wengine.
tuwaze kuchakata Tikitiki maji na si na sisi twende shambani.
Sent using Jamii Forums mobile app