sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Marekani kuna vyama vikuu viwili ..
1. Democrasts - Biden, Obama, Clnton, n.k
2. Republicans - Trump, Bush, Kennedy, n.k
Democrats kimekuwa chama chenye maovu mengi mno ila kwavile wao ndio wamiliki wa media nyingi kama facebook, twitter, cnn, n.k, wanajisafisha sana kwa media na hata huku kwetu kina milard ayo wataumia havari zao kutufikishia, mfano katika kuwachafua republicans, kipindi cha trump hata hapa kwetu tz mtu unakuta anamchukia tu trump kwasababu kasikia redioni ni rais mbaya, ila kituo cha redio nacho kimetoa habari huko cnn ambao walimchafua sana Trump
- Democrats ni wachochezi wakuu wa kushinikiza nchi zingine kuunga mkono ushoga na usagaji.. nakumbuka Obama alienda Kenya kushinikiza hili ila walimtolea nje..
- Wanashinikiza utoaji mimba (abortion), wapo na msemo wao .. mwili wangu , uchaguzi wangu,, lakini wanasahau kwaba kiumbe kilichomo umboni ni mtu mwengine.
-wanaruhusu maharamia wasio na vibali kuingia marekani na kuwa wananchi, hadi sasa tangu Trump atole una maharamia makumi ya ma elfu huingia kila wiki.
-ni chama ambacho kishika madaraka, kodi huwa zinakuwa juu sana