Sio Masoud Djuma Tu hata wachezaji watachina.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hata kama uwe mwendawazimu utagundua kuwa kuwa Masoud Djuma ana mgogoro na Simba. Kuangalia mechi timu ikicheza mechi Kwa mashabiki ni burudani lakini Kwa kocha nizaidi ya burudani. Huu ni muda kocha anaona mazuri na mapungufu ya kikosi chake na timu pinzani pia Kwa mikakati ya mechi zinazofuata. Masoud kubaki Dar es salaam wakati timu yake ikisafiri inatumika model gani? Ni timu gani ingine duniani inafanya hivi?

Kwakuwa mshahara wake anapata atulie tu Kula hizo pesa lakini kitaaluma atarudi nyuma Kwa kuwekwa kwapani na Patrick.

Hata wachezaji Simba watapoteza viwango vyao wengi kwakuwa hakuna mchezaji Simba atajihakikishia kucheza DK 90 Simba. Akipotesa pass mbili tatu Kwa bahati mbaya atatolewa nje kwakuwa kocha anachanganyikiwa ampange yupi wapi na lini.

Djuma bhana kama hujui sehemu za Siri za kuku zilipo subiri upepo mkali uvume. Jamaa wamekuegesha Tu hapo wakisubiri Patrick aboronge, asipoboronga utaendelea kuwekwa kwapani hadi uchache.
 
Huyu jamaa ana kipi cha utofauti, mbona ana trend sana.
 

mashabiki wa mpira wa kizazi kipya.... since when kocha msaidizi akawa ndio kila kitu kwenye timu? Kwani kama simba ikifungwa anafukuzwa kocha mkuu au msaidizi?

kipindi masudi ameachiwa timu alitupa kombe gani? Sport pesa si alikuwa peke yake? Zanzibar si alikuwa peke yake? Alifanya nn cha ajabu?
 
Masudi juma ni mnafiki sana hana lolote, anachojua ni uchonganishi tu .. huku kwenye mitandao ameajiri watu wengi wa kumchonganisha kocha mzungu atimuliwe
 
Niliyozsema yatatimia, Masoud anza kupiga jaramba, beberu limechemka tayari. Tatizo kubwa Simba ni Manara anayewapa wachezaji high expectations inayosababisha wacheze kwa tension kubwa kuogopa kufungwa. Timua Manara mtaona mabadiliko makubwa la sivyo mumpangie cha kuongea kwenye club.

Hivyo, Djuma, + Patrick, + nyota wengi+ mishahara mikubwa+ mo+ Manara = panic uwanjani
 

man city kafungwa jana na ubora wake wote wa kila kitu,
 
man city kafungwa jana na ubora wake wote wa kila kitu,
Kufungwa sio jambo la ajabu, lakini man city kutoka sare na samsupton mechi ya kwanza na kufungwa na Watford mechi ya pili ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…