Ungenisubiri kidogo tutoke wote kesho, BTW happy birthday MLEVi Mmoja [emoji512] happy birthday in advance twin bbade
We unadhan utakuwa wa nini ? [emoji3][emoji3]Happy birthday MLEVi Mmoja, Mungu akutunze na akuongezee miaka mingine mingi ya baraka tele. Ila huo ulevi sijui wanini![emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]"Uishi miaka mingi mkuu," alisikika mlevi mmoja akimtakia heri na baraka mlevi mwenzie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bag langu
Bag langu
Nakusalimia tuu mimi jamaniVilivyoumia kwenye besidei yako ni viti vya baa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulivyosema hivo na dada hapa nae nimetoka kusoma msg yake anasema ninunulie bag la mgongoni nimecheka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani uliamua kuchukua bag na yule handsome dada
Salamu zimenifikia [emoji73]Nakusalimia tuu mimi jamani
Jamani dada...Yule alikuwa ana kutaka wewe ulifate umetukosesha mabag na ukamfanya akimbie uzi wetu pendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana jamani [emoji1780]Salamu zimenifikia [emoji73]
Hebu na wewe rudisha nyuma besidei yako nikuandikie uzi
Wewe niandikie tuu hata wa kunimiss wakati nasubiria besidei my [emoji1780]Salamu zimenifikia [emoji73]
Hebu na wewe rudisha nyuma besidei yako nikuandikie uzi
Dada huyoHappy birthday kwako mlevi mwenye viwango vyako