Sio mbaya nikisema hii dawa iliyoniondolea chunusi kwa siku 4, kwa wana JF wenzangu

Mtaule mgunda

Senior Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
193
Reaction score
61
Husika na maada,ukiangalia ni thread zangu nyingi katika jukwaa hili lilikua linauliza au kuzungumzia maswala yachunusi.

Nilishauliwa mengi sana,,kwanza nilitumia (magadi soda) hii ilianza kunisaidia kidogo lakini baadae ilnibabua sana, yan uso ulikua hautamaniki nikaachana nayo.

Pili nikatumia limao, ikawa inasaidia kidgo sana,nmetumia limao kwa miezi zaid ya 2,lakini mabadiliko ni madogo.

3Nimetumia Asali,nayo sikuona mabadiliko chanya ,, hapo n
 
Iyo dawa nimeituitumia, ni nzuri kweli kabisa. Moja ya side effect yake ni kufany uonekane mweupe na pia ukiacha tu kutumia vinarud kwa kasi. Sema hebu tumia mpaka mwisho afu ukiacha uje na mrejesho!!!
 
Aisee nlitaka kumshauri ndugu yangu atumiee..!! Sema mmh umenitisha...vinarudi tena kwa kasi..!?? Afuu inachubua maana ake..
 
Kila ngozi inahisia tofauti wa upokeaji wa kipodozi au dawa sasa waweza kukuta ngozi yako au za watu kadhaa ikawa rafiki kwenye matumizi yake,
Alafu mmoja wapo ikaleta matokeo hasi kwenye matumizi..hivyo ni bora upate hii yenye mchanganyiko wa virutubisho asilia vya karafuu na tui la nazi hii ni nzuri pia inatoa chunusi na uchafu wa ngozi na kukuacha msafi mwenye furaha

Tunatuma mikoani na Dar tunaleta popote
Whatsapp only 0714148727
 
Whatsapp only 0714148727 TSH 7000/=
 
Back
Top Bottom