Mtaule mgunda
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 193
- 61
haichubui ,,lakini ngoz inakuwa laini.Haichubui?
Mh iyo hapanamkuu
haichubui ,,lakini ngoz inakuwa laini.
hiyo lazima ina steroid na kwa hiyo inachubuamkuu
haichubui ,,lakini ngoz inakuwa laini.
BAsi sawa.Mh iyo hapana
naomba uniambie mkuuUmejaribu kufatilia nini kitakupata baada ya muda flani?
uHakuna dawa ya chunusi, huko ni kujichubua tuhh kwa nini ngozi iwe laini?
ushawah kutumia au kushuhudia hilo mkuu?hiyo dawa ukiacha kutumia siku ya tatu uso unarudi kama kabla hujaenda hospitali. ni ufumbuzi wa muda tu
Aisee nlitaka kumshauri ndugu yangu atumiee..!! Sema mmh umenitisha...vinarudi tena kwa kasi..!?? Afuu inachubua maana ake..Iyo dawa nimeituitumia, ni nzuri kweli kabisa. Moja ya side effect yake ni kufany uonekane mweupe na pia ukiacha tu kutumia vinarud kwa kasi. Sema hebu tumia mpaka mwisho afu ukiacha uje na mrejesho!!!
haina tofauti na sonaderm.ushawah kutumia au kushuhudia hilo mkuu?