Sio mbaya nikisema hii dawa iliyoniondolea chunusi kwa siku 4, kwa wana JF wenzangu

Mmh!
Hapo umelizwa.
Hiyo ni kama ganzi tu, hizo chunusi zitakuja kulipuka kwa spidi ya mwendokasi.
 
Hyo ni tube yenye cream ndani yake, utakuwa laini uso na kuwa mweupe chunusi zitaisha ila ukiacha tu kupaka ni majanga na ukipaka mda mrefu pia itazoea ngozi na chunusi zitarudi

Nakushauri : Jikubali
 
Hyo ni tube yenye cream ndani yake, utakuwa laini uso na kuwa mweupe chunusi zitaisha ila ukiacha tu kupaka ni majanga na ukipaka mda mrefu pia itazoea ngozi na chunusi zitarudi

Nakushauri : Jikubali
ushawah kutumia mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…