Sio mbaya tukijikumbusha Wachezaji waliokuja Ligi Ya Tanzania na Kuchemka

Huyo jevas kago alicjemka nini au kwakua alitia doleni yanga mkuu
 
Mkata umeme
umeelewa swali la mleta mada?

anasema kuwa 'wachezaji waliokuja na wachachemka'

sio wachezaji waliokuja na wakachelewa kuonyesha kiwango mapema kwenye klabu zao.

kwa jinsi ulivyojibu basi una haki ya kumjumuisha BOSSOU.
 
mavugo jaja jama mbaa serunkuma
Jaja hajachemka mkuu! waulize Azam.

aliondoka baada ya kutolidhishwa na mazingira ya mchezo wa soka hapa Bongo.

mtu kaiwezesha Yanga kubeba Ndoo ya Ligi na Ngao ya hisani na bado unamuweka kundi moja na Mavugo? unashangaza sana!
 
Jaja hajachemka mkuu! waulize Azam.

aliondoka baada ya kutolidhishwa na mazingira ya mchezo wa soka hapa Bongo.

mtu kaiwezesha Yanga kubeba Ndoo ya Ligi na Ngao ya hisani na bado unamuweka kundi moja na Mavugo? unashangaza sana!
jamaa alitupia goli mbili classic sana dhidi ya Azam ila kwenye ligi alishindwa kutamba japo alipewa nafasi sana na Maximo.
 
nikumbusheni chochote kuhusu mark sirengo
Huyu jamaa alikua na Spidi kama Boxer akimpita beki tuu kakodi toyo au aandika maumivu kati ya fowadi wazur Simba kuwapata.

Nakumbuka kuna Game moja Ya Simba na Yanga ilichezwa Zanzibar Yanga Anakufa Nne Sirengo aliwafanya beki za Yanga kulala na Viatu
 
Bilaginonii kala milioni 100 za bure[emoji21] [emoji21] [emoji21]
 
Tambwe, kamisoko, niyonzima, ngoma
......vice-versa is true
 
James Chilapondwa,middle flan ilisajiliwa Yanga toka Malawi
 
Weng sana umechapia, simon selunkuma? Mosoti?
 
Ochan? C tulimuuza mazembe yule? Ndayisenga? C aligoma hela ndogo? Alifanya majaribio akafunga na kufunga
 
Majabvi? Khaaaa wawap ww?
 
Yaw Berko na Kiiza waondoe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…