Sio mbaya tukijikumbusha Wachezaji waliokuja Ligi Ya Tanzania na Kuchemka

Mkuu, sio walichemsha. Mcheza soka mwenye lengo la mafanikio hawezi kukaa hapa, tuondokane na fikra hiyo. Vilabu vyetu hapa vipovipo tu kutuburudisha kama vikundi vya komedi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…