Sio offside Yanga walihujumiwa

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
SIO OFFSIDE [emoji119]Kwa mujibu wa Kipyenga cha mwisho cha Mwamuzi Mstaafu, Osman Kazi, kinachoruka Azam Sports 2 kila Alhamis Saa 3:30 usiku..... goli la AmissTambwe dhidi ya Mtibwa Sugar, HAIKUWA Offside. Lilikuwa goli halali lililokataliwa na mwamuzi msaidizi namba moja (Line One).
.
.
Kwa namna picha hiyo ilivyochorwa mstari wa mwisho kuonesha Offside, unakubaliana na Osman Kazi au hapana?...Toa maoni yako.
#tpl
#chombokwahewa
 


Iacheni tu Yanga ijifilie mbali kule.
 
MALIPO HAPAHAPA DUNIAN S MLIFURAHIA KKATALIWA KWA GOLI HILI LA AJIBU SIMBA VS YANGA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ajibu pia aliwafunga Yanga goli halali kabisa dakika za mwanzoni ktk ligi ya mwaka juzi Refa akalikataa.
Yote hayo hamkuyaona na Simba hawakulalamika Sana kama nyie wa kulialia kila wakati.
Shindeni mechi zenu
 
Hii haisaidii sana ila tujue timu yetu haina kiwango bora tusiwe watu wa kupenda matokeo mazuri ili hali tunaiona timu yetu inashinda kwa uzoefu tu si kwa ubora wa timu na inavyoonekana kwakuwa msingi ya timu toka tumeanza mashindano ilikuwa dhaifu madhara yake ndiyo yanaonekana sasa kwani hta Zahera anajua kabisa simba kasi itachukuwa kombe
 
Mkuki kwa nguruwe kwenu ni kulialia Tu kama watoto yatima huku mnasafiri kwa ndege kwenda ktk mechi za mikoani.
Lini maskini akamudu usafiri kwa kupanda Ndege ?
Pesa mnayo ila mnapenda kudekezwa sana.
Pumbaf
 
Hayo mambo ya kawaida tu kwenye mpira Weekend iliyopita West Ham walikataliwa goli safi kabisa la Philipe Anderson dhidi ya Manure. Sio hujuma ni human error labda tuweke VAR tatizo la off or on side litaisha
 
Next time wakifanya hivi.. Mashabiki mnaingia uwanjani mnawachapa kama Mwasika. . Mechi kibao wanakataa mabao halali. . Makambo angeshafikisha magoli 20..
Mmmh..yule mviziaji hana lolote..
 
Ndio maana soka letu haliendelei kwa sababu ya unywanywa kama huu, wa kulalamika kuhujumiwa, akuhujumu nani ww na kwa faida gani..

Tunapaswa tutambue vitu viwili
1. Refa ni binadamu si wakamilifu, hata wakina collina walikuwa wanakosea japo ni kwa uchache..
2. Marefa watz ni wabovu kupita maelezo, hawana umakini mchezoni wakati mwingine wanashindwa kuzitafsir sheria kwa haraka..

Utashangaa mpira umeinsha manara anakuja na tv analalamika, haya masuala ya kulalama lalama upate huruma ya watu ni upuuzi!!

Hakuna cha kuhujumiwa wala nini ni refa alitoa boko, na makosa ya namna hii ni mengi mnooo kwa waamuzi wetu, sheria ya offside inawalamba mnoo chenga, acheze yanga, acheze simba, iwe lipuli, ndanda sujui kote huko huwa naona makosa yale yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…