Sio rahisi kumridhisha kila binadamu

Sio rahisi kumridhisha kila binadamu

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Binadamu ni kiumbe cha ajabu, hata ufanye nini huwezi kuwaridhisha.

Jambo muhimu ni kuwa na stahmala, kuvumilia jinsi unavyoshambuliwa, kupingwa, kukosolewa au kutukanwa kwa jambo ulilofanya, uliloshauri au kulipuuzia.
 
Back
Top Bottom