F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Oct 28, 2024 #1 Binadamu ni kiumbe cha ajabu, hata ufanye nini huwezi kuwaridhisha. Jambo muhimu ni kuwa na stahmala, kuvumilia jinsi unavyoshambuliwa, kupingwa, kukosolewa au kutukanwa kwa jambo ulilofanya, uliloshauri au kulipuuzia.
Binadamu ni kiumbe cha ajabu, hata ufanye nini huwezi kuwaridhisha. Jambo muhimu ni kuwa na stahmala, kuvumilia jinsi unavyoshambuliwa, kupingwa, kukosolewa au kutukanwa kwa jambo ulilofanya, uliloshauri au kulipuuzia.
Greenish Island Senior Member Joined Feb 15, 2024 Posts 101 Reaction score 162 Oct 28, 2024 #2 Kiumbe cha ajabu ❌️ Kiumbe wa ajabu ✔️
F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Oct 28, 2024 Thread starter #3 Greenish Island said: Kiumbe cha ajabu ❌️ Kiumbe wa ajabu ✔️ Click to expand... asante kunisahihisha