mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mwamba kaungana na hawaapa
1. Mark Hughes
November 11,1987 Jamaa alicheza mechi ya kufuzu euro kati ya Wales vs Czechoslovakia na baadae akasafiri had German na kucheza for 30 min kwenye Dfb pokal na Bayern Munich
2. Den s lerby
Mwamba 1985 aliingia uwanja German ikicheza world cup qualifier na kutoka dk58 na ndani ya saa24 alicheza mechi ya dfb pokal kati ya Bayern Munich na Wolfsburg
3. Jorge Compos
June 16,1996 huyu jamaa alikaa Golini USA vs mexco ,na masaa machache baadae alicheza Msl match na timu yake ya LA Galaxy
4. Can Bartu
January 25,1957 mwamba kabisa alikuchafua akiwa na fernabach ya uturuki na kufunga goli mbili katika ushindi wa 4-0 baadae alicheza mechi ya basketball na timu yake hiyo ya fernabace
5. Mbwana samata
Alicheza mechi ya Taifastars nchini Cameron Kisha masaa kadhaa akasafiri na kuchezea Ngorongoro Heros
6. Cole Palmer
Ilikua 2022 alicheza mechi ya man city akafanyiwa sub kipindi cha pili akaenda kucheza mechi ya man city u23