Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Wapo wanaokubali tena kirahisi sanaIpo dhana potofu ya kuchafua wanaume na kusema kuwa kuna wanaume wanaokuwa mashoga na ushoga ni wanaume wanaoruhusu kuingiliwa
Ukweli ni kwamba hii sio sahihi na ni jambo ambalo nigumu kutokea au karibu kutowezekana kwa mwanaume kamili kuamka na kufikiria kuwa shoga.
Fanya utafiti uulize mwanaume yoyete kamili kama anaweza kuwa shoga kama hajakuvunja meno, uanaume ni ufahari na sio rahisi mtu kuukimbia ufahari.
Hivyo basi mashoga sio wanaume na hawajawahi kuwa wanaume. Mwanaume kamili kamwe hawezi kufikiria kuwa shoga hata kama ni mtoto mdogo.
Anayekubali hawez kuwa mwanaume mwanaume ukimtajia hayo mambo lazima akuvunje meno wanaume huwa tuachukia sana hiyo haliWapo wanaokubali tena kirahisi sana
Unajaribu kutetea nini? Basi hujatembea,.... Toka huko Tukuyu Mwakareli, hamia Dar
Sasa anayekubali, na bado ana uume na ana six pack na gym anaenda, huyo kwa upande wako unamuitaje kama umekataa kuhusu uwepo wa ushoga? Help me to understandAnayekubali hawez kuwa mwanaume mwanaume ukimtajia hayo mambo lazima akuvunje meno wanaume huwa tuachukia sana hiyo hali
Hao sio wanaume. Mwanaume hakubali kuingiliwaSasa anayekubali, na bado ana uume na ana six pack na gym anaenda, huyo kwa upande wako unamuitaje kama umekataa kuhusu uwepo wa ushoga? Help me to understand
Mtu anayeruhusu kuingiliwa unaweza kumwita mwanaume?Wee jamaa jau kwel! Kuna majitu tunaishinayo mitaani na maofsini yanatengeneza mazingira uyatafune,je hao si wanaume ila fisi? Nyuma ya mwanaume kuwa shoga Kuna mambo mengi nyuma kubakwa akiwa mdogo sio sababu inayojitosheleza kwenye soko lao Hilo. Kuna sababu zisizoonekana pia kigezo Cha mtu kuwa na homoni nyingi za kike ndani yake hakina mantiki.
Huyo nitakatakaMtu anayeruhusu kuingiliwa unaweza kumwita mwanaume?
Naam sahihiHuyo nitakataka