Sio sahihi kuita Ai(artificial intelligence) akili bandia

John makonda

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
263
Reaction score
246
Neno linalotumika kutafsiri neno la AI artificial intelligence Kwa Kiswahili sio sahihi kuita akili bandia ni kupoteza maana halisi ya Ai artificial intelligence. Neno kwenye maana Bora iitwe AKILI MBADALA.

Tumekuwa na utamaduni wa kutafsiri neno Kwa neno hayo ni makosa ya matumizi ya lugha.

Lugha hutafsiriwa Kwa neno Kwa maana.
 
 
DAH:
 
Ajiri, akiri = mtoa post usrekebishe lugha kwanza. Na pili ni akili mnemba
 
Reactions: 511
Haiwezi kuwa akili mbadala, neno sahihi la kiswahili tayari lipo
 
Akili huna ,hujitambui.

Kinyume cha halisi ni bandia , huwezi kulazimisha kinyume cha halisi kiwe ni mbadala.

Natural intelligence (akili halisi), artificial intelligence (akili bandia).
 
Alafu kaandika thread na yuko seriousπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..
Kuna watu wamechanganyikiwa mazeee sio bure
 
Akili huna ,hujitambui.

Kinyume cha halisi ni bandia , huwezi kulazimisha kinyume cha halisi kiwe ni mbadala.

Natural intelligence (akili halisi), artificial intelligence (akili bandia).
Oneni huyu naye eti anamcheka mwenzie, hili si ndo pipa na mfuniko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…