Sio siri ninaumia

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku tatu mfululizo yeye wala hata hastuki akacall back, najikaza ili aanze lakini najikuta tu mi ndo naanza kumpigia ili tu roho yangu iridhike, nashindwa kujicontrol.. sms ndo kwanza mpaka nimuulize umepata sms yangu ndo anakujibu, TENA jibu lenye la kawaida sana kama anamjibi man mwenzie. NATAMANI KUSIKIA I LOVE, NATAMANI KUSIKIA I MISS U, NATAMANI MANENO MATAMU YA KIMAPENZI TOKA KWA MTU NINAYEMPENDA. lakini siyapati naumia natamani kuachana naye ila roho yangu bado inampenda kwa kweli. Me binafsi napenda sana kuchat, kuongea hasa nyakati za ucku ukizingatia tupo mbali walau tupeane pole, tuambiane maneno matamu matamu ila yeye mkavu sana katika maongezi cjui hani-feel??? Tena ndio huwa wa kwanza kuaga utadhani kapiga yeye. Nashindwa kupata jibu yuko upande gani, nikijaribu kuumuuliza anasema yuko sawa. Mara nyingi hana story jamani nifanyeje........ naumia kwa kweli........
 

Mos ahinya nyakwar atony. Nyasaye biro guedhi Jaber iyud wuoyi moeri.
 
hapo naona ni interest tu zinatofautiana, but inawezekana anakupenda sana tu, siyo watu wengi wanaopenda kuchati na kupiga cm but inawezekana anaupendo wa kweli kwako!
 
hapo naona ni interest tu zinatofautiana, but inawezekana anakupenda sana tu, siyo watu wengi wanaopenda kuchati na kupiga cm but inawezekana anaupendo wa kweli kwako!

may be... but nimevumilia huu ni mwaka wa pili ila naumia tu rohoni dah... mwisho uvumilivu utanishinda
 
Mwanzo alikuwaje? Je, hayo unayaona tangu mwanzo au tangu aende huko aliko? Sasa, Muendee ghafla huko aliko kama yuko wa kawaida ongea naye umuulize kwanini response yake iko hivyo!!! Kama kuna mwingine utajua tu ukifika huko, ila uwe makini
 
Mwanzo alikuwaje? Je, hayo unayaona tangu mwanzo au tangu aende huko aliko? Sasa, Muendee ghafla huko aliko kama yuko wa kawaida ongea naye umuulize kwanini response yake iko hivyo!!! Kama kuna mwingine utajua tu ukifika huko, ila uwe makini
Of cos ndivyo alivyo, ukimsema cku mbili atabadilika ila zinazofatia anarudi msari ule ule.... Dah yan nahisi kuchoka et. Tena nikiona wenzangu the way wanavyokuwa treated na bf zao ndo kabisaaaa natamani na wangu anitreat hivo ila hawezi....
 
jamani wee yan ndo unazidi kupigilia msumari katika kidonda Aiiiiiiiiiiiiii!

ndo hali halisi, piga moyo konde tafuta ustaarabu wako. Kama huamini usimtext wa kumpigia simu mwezi mzima uone. Hutopigiwa wala sms!!!
 


Mpige surprise visit, utajua mawazo yote.
 
Samahani kama nitakukwaza...

How old are you baby?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…