Mi nimeupenda mwandiko wako.... nani alikufundisha kuumba herufi?........ Tatizo unacharaza sana na kalamu yako haina wino wa kutosha.......Hahaha hahaha hahaha,nimekuelewa mkuu.
Mi nimeupenda mwandiko wako.... nani alikufundisha kuumba herufi?........ Tatizo unacharaza sana na kalamu yako haina wino wa kutosha.......
Kama kuna maswali, karibu shambani kwangu Boko nikulishe matango na matikiti maji kw wingi wakati nikijibu maswali yako.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
We ntakulisha karoti.........aahh....hakuna matunda mengine......mi hayo yananidhuru bana.....
Mos ahinya nyakwar atony. Nyasaye biro guedhi Jaber iyud wuoyi moeri.
Ahsante sana kwa ushauri wako, ndio niliopanga kichwani mwangu... KUVUNJA UKIMYA!ongea nae, tell him what you expect from him. tupo vijana tuliolelewa kigumu na haya mambo ya caring tunajifunza ukubwani so bila kuelekezwa ni ngumu kufahamu
We ntakulisha karoti.........
Mos ahinya nyakwar atony. Nyasaye biro guedhi Jaber iyud wuoyi moeri.
Hahaha hahaha hahaha,nimekuelewa mkuu.
Erokamano nyathiwa!
angalia isije ikawa vice versa..badala ya kumfanyia surprise ukajikuta umejifanyie wewe surprise!hapo sawa ntajitahidi may be nikipata likizo make yupo mkoani!