Sio siri Tanzania inatubidi tuige demokrasia ya Kenya

Kumuita kiongozi wa nchi mtoto wa mbwa ndio Demokrasia?
 
Ya kuiga kubadili katiba kwa wingi wa wabunge. Kuongeza au kubadilisha kifungu cha uchaguzi kukidhi matwakwa ya Rais..
 
kwa hiyo kutukana rais ndio demokrasia?
 
"Kumbafu takataka ghasia shoga mbwa dungwa"...lol! Sonko amemwaga povu aisee!!!
 
Unamaanisha nini labda... Kwamba kenya wana au watakua na ustawi wa maisha ya binadamu kuliko TZ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…