juu ya yote, tumuombee dua Msigwa. hayupo vizuri
ameunja record record za dunia.
haiziwekani kakaa na Mbowe miaka 20, ghafla dakika 1 imekuwa adui. Hakuna mtu duniani sample hio
hakuna .tangu ianze siasa za vyama vingi hii haijawahi kutokea, ndio kwanza tunaona.
labda tusema mmoja akiingilia nyumba ya mwenziwe
kuna kitu kimemsibu