Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Wewe sio mshabiki wa simba bali ni wa Yanga kwa hiyo huwez elewaYaani nilipe harafu nisiingie?? Elfu tano yangu bora ninunulie watoto nyamachoma au nimtumie vocha bimkubwa
Akili za kuambiwa za mashabiki changanya na za kwako,,mudi tu alisema mchangie kujenga uwanja akatoa bilioni 2 lakini pesa waliyochanga mashabiki mpaka sasa aijulikani iliishia wapi na ilikuwa shingapi jambo likayeyuka kama barafu,,Leo hii unasema mchangie timu mtaweza au ni mihemko tu kama ya bosi wenu!Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu
Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia timu yetu kipenzi simba ili isonge mbele zaidi ya ilipo sasa
Tuko tayari kuipigania timu yetu simba ahmed ally piga kazi usione aibu mtu wewe ni msemaji bora ambaye hajawah tokea hapa Tanzania usichoke kuhamasisha watu
Tsh changia timu
Scars changia timu
SAYVILLE changia timu
Tunamsaidia kuendesha timu kwani ni kosa tajiri ana-mambo mengiKwa hiyo muddy awaachie timu muiendeshe kwa michango ya mix by yas?
Wazo linaweza kuwa na nia nzuri ila Simba siyo klabu inayopendelea saaana kuendesha timu kwa njia ya kukusanya michango.Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu
Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia timu yetu kipenzi simba ili isonge mbele zaidi ya ilipo sasa
Tuko tayari kuipigania timu yetu simba ahmed ally piga kazi usione aibu mtu wewe ni msemaji bora ambaye hajawah tokea hapa Tanzania usichoke kuhamasisha watu
Tsh changia timu
Scars changia timu
SAYVILLE changia timu
Ongea na uongozi wakupe timu, maana huko ni kujipendekezaWewe sio mshabiki wa simba bali ni wa Yanga kwa hiyo huwez elewa
Ni wewe na akili yako, unadhani kuendesha timu ni lelemama?Yaani nilipe harafu nisiingie?? Elfu tano yangu bora ninunulie watoto nyamachoma au nimtumie vocha bimkubwa
Waachie ambao wanaweza sasa, ambao wanaona ni simpleNi wewe na akili yako, unadhani kuendesha timu ni lelemama?
Asione aibu au ndiyo majukumu? Yanga kila mwaka wanachama wanatoa 1bTajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu