P anachemka kwa kutaka kutuaminisha ivo na wala haitakaa iwe, "Kwani Lwakatare yeye nani bhana....!!?Mshana Jr, mtabiri maarufu wa JamiiForums ndugu Pascal Mayalla kasema hitma ya CHADEMA iko mikononi mwa Lwakatare.
Una lolote la kumuuliza bw. Pascal Mayalla kutokana na utabiri wake huo?
Tuepuke prophecy of doomMshana Jr, mtabiri maarufu wa JamiiForums ndugu Pascal Mayalla kasema hitma ya CHADEMA iko mikononi mwa Lwakatare.
Una lolote la kumuuliza bw. Pascal Mayalla kutokana na utabiri wake huo?
Ni ngumu kwa sasa kufanya siasa za kiharakati. Mazingira tuliyonayo hayaruhusu tena. Lakini pia tulianza kuyumba pale tulipoamua kujitoa ufahamu na kuilinda CCM kwa namna yoyote ile.Ingawa hujazungumzia harakati na nimekuwa nikiona wengi wakisema siasa zimebadilika kwamba siasa za sasa hazijitaji hatakati lakini aise Mimi Nina mtazamo tofauti kabisa!
Nikikumbuka miaka ya nyuma wkt wa siasa za harakati kuanzia mtaani, vyouni mpk makazini ilikuwa moto na ilitishia sana sisiemu sielewi kwann siasa za harakati zinapigwa kwasasa mpaka upinzani hawazitumii pamoja na kwamba nyakati zimebadilika
Sent using kidole gumba
Na hata kama ikatokea CCM ikaondoka madarakani kama vyama vingine. Ikae pembeni lakini isife ili iweze bado kuwa na nguvu yake kama mpinzani.Nipo ccm lakini nakubaliana na hoja, ila tungependa pia kuona upinzani sio tu unaendelea kuwepo bali upinzani dhabiti, Ili kue na kimbilio kama ccm ikiharibu kma miaka ya nyuma!
Huu uzi wako umetulia sana. Pamoja na mapungufu ya kibinadamu na kiuongozi Chadema ni chama bora sana mara elfu ukilinganisha na ccm na hata ccm wanajua hivyo na ndiyo sababu kubwa hawataki tuwe na Tume Huru itakayosimamia uchaguzi HURU na wa HAKI kwani ndiyo itakuwa Kiama chao hapa Tanzania.
Wanajua wazi bila uchaguzi uliojaa udhalimu, vitisho, wizi na dhuluma wanaweza kubaki na majimbo machache sana nchini na Urais watausikia kwenye bomba.
Hupaswi kuilaumu CHADEMA hata chembe... Inaminywa na haipewi nafasi kabisa ilijenge na kustawi... Pamoja na yote haya bado ni chama kinachoogopeka zaidi na watawala wa ccm huku kikiwa ndio chama kinachopendwa zaidi Tanzania na nje ya AfrikaMtu akiniambia CHADEMA ni chama bora, nashindwa kuelewa ubora uko wapi. Ikiwa miaka yote hii kimeshindwa kuwaandaa vijana wasomi kuchukuwa nafasi za uwongozi, sijui huo ubora unatoka wapi? Kijana anachukuliwa chuo kikuu, akiingia CHADEMA anafundisha kupinga kila kitu na kukimbizana na dola. You can't create tomorrow's leader by disobeying the rule of law.
Ukiwa CHADEMA lazima uwe tayari kutafuna pesa ya umma bila woga wala ukakasi, mikutano kwenye mahoteli makubwa, safari za nje zisizo za lazima, magari ya kifahari hata mmiliki hajulikani ni nani kusema hicho ndio chama cha mfano, sio kwa mfumo uliopo.
Hata itikadi, CHADEMA imeshindwa kuwa hata na kachuo kadogo kutowa somo la itikadi kwa viongozi watarajiwa ili kuwe na muongozo hawa wajuwe CHADEMA inasimamia kitu gani. Halafu watu wanashangaa kuona wanachama wanakihama chama, ni kwasababu wanafikiri CHADEMA na CCM wote wako sawa lakini ni vyama vyenye misimamo tofauti.
Na hata kama ikatokea CCM ikaondoka madarakani kama vyama vingine.. Ikae pembeni lakini isife ili iweze bado kuwa na nguvu yake kama mpinzani
Jr[emoji769]
Mshana Jr, mtabiri maarufu wa JamiiForums ndugu Pascal Mayalla kasema hitma ya CHADEMA iko mikononi mwa Lwakatare.
Una lolote la kumuuliza bw. Pascal Mayalla kutokana na utabiri wake huo?
Chadema ni sikio la kufaJe kuna personal issues nje ya politik?
I wish this can happen. Natamani mno. Siasa za ushindani wa hoja. Siasa za mijadala yenye kujenga na si kubomoa. Kwakuwa mwisho wa siku Tanzania itabaki hata kama vyama vitakoma kuwa.Nakubaliana na wewe mkuu, hapa ndipo tutaona ufanisi mkubwa sana wa majukumu, yaani kazi inakua rahisi kwel kwel yawezekaa hata uchama ukatuondoka kama ukabila tulivouruka, wtu wa CCM wanpiga kura kokote na chadema ivo ivo
Haya ndio matokeo ya siasa za chuki zilizoasisiwa na CCM. Huu wako kabombe ni mtazamo finyu mnoChadema ni sikio la kufa
Alichofanya P ni kushauri sasa yameanza kutimia,unaanza kulia kuwa si wakati wa kutabiria mabaya chadema
Ni faraja kubwa kuona chadema imejizika yenyewe kupitia sultani Mbowe kabla hata ya uchaguzi wa 2020