Kila chama kina taratibu zake ulitegemea CHADEMA kiwe na taratibu sawa na ccm ?Msimamo gani wa chama? Kumzuia mbunge kutekeleza majukumu yake? Zipo hatua nyingi za kuchukua ili kulinda uhai wa chama. Wangeweza hata kuwapa karipio lakini siyo kuwafukuza hasa kwenye kipindi hiki cha lala salama. Halafu wananchi wakiwapiga chini mnasingizia mmeibiwa kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipande hujajibu hapa [emoji3516]Kutumia dola ndiyo uwezo wa kujibadilisha wa ccm ?
Halafu unaposema unitoe tongotongo nani kakwambia mimi nina tongotongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo rushwa hasa inapotolewa na state ushahidi upo watu hanahama na kupewa vyeo hii ni dhahili Kuna wanaopewa pesa na kuasi vyamavyao,kupinga hakupo bali nao kukosoa kitu chochote ilikiwe Bora lazima kipite mchakato wa kukosolewa na sio kuhujumiwa iwe chama iwe development plan,kikipitia huo mchakato kina kwenda kuwa Bora kabisa kwenye implementation.
CCM inakosolewa na wapinzani,lakini on fighting back wanahujumu upinzani hapo ndiyo kunatatizo.
Sawa hizo taratibu zenu zikiwacost msiwe mnalalamikia vyama vingine.Kila chama kina taratibu zake ulitegemea CHADEMA kiwe na taratibu sawa na ccm ?
Turudi kwenye swali langu la pili mbona ccm kilimfukuza Membe bila karipio ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ccm wanaamini wanaweza kupambana hebu wasitumie mbeleko ya dola.Sawa hizo taratibu zenu zikiwacost msiwe mnalalamikia vyama vingine.
Kuhusu membe, rejea taarifa ya pole pole wakati wanamfukuza membe. Alisema kabisa kwamba membe alishapewa onyo zaidi ya mara moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka Meko anatumia pesa nyingi kuvuruga miundombinu,Ni kijana gani kapata shida kuliko Lijualikali,Mdee na Mdude,Je,Unafikiri ni vijana wangapi wanatamani lakini hofu ya Kutekwa imewarudisha nyuma kimapambano?Mtu akiniambia CHADEMA ni chama bora, nashindwa kuelewa ubora uko wapi. Ikiwa miaka yote hii kimeshindwa kuwaandaa vijana wasomi kuchukuwa nafasi za uwongozi, sijui huo ubora unatoka wapi? Kijana anachukuliwa chuo kikuu, akiingia CHADEMA anafundisha kupinga kila kitu na kukimbizana na dola. You can't create tomorrow's leader by disobeying the rule of law.
Ukiwa CHADEMA lazima uwe tayari kutafuna pesa ya umma bila woga wala ukakasi, mikutano kwenye mahoteli makubwa, safari za nje zisizo za lazima, magari ya kifahari hata mmiliki hajulikani ni nani kusema hicho ndio chama cha mfano, sio kwa mfumo uliopo.
Hata itikadi, CHADEMA imeshindwa kuwa hata na kachuo kadogo kutowa somo la itikadi kwa viongozi watarajiwa ili kuwe na muongozo hawa wajuwe CHADEMA inasimamia kitu gani. Halafu watu wanashangaa kuona wanachama wanakihama chama, ni kwasababu wanafikiri CHADEMA na CCM wote wako sawa lakini ni vyama vyenye misimamo tofauti.
Kausome ujamaa utaelewa hapo bado unapwaya, alikuwepo Nyerere na Paul Sozigwa since then hamna mjamaa CCM ndio maana awali nimekuambia unitajie mjamaa mmoja CCM kwasasa na sio ngonjera unazoleta.
Kuhusu urusi na China walishavuka kwenye Siasa za kijamaa tangu Gorbachev alivyoisambaratisha USSR, ukomunist ni kwa ajiri ya kutawara na si katika uchumi na vinginevyo likewise hapa ujamaa unatajwa ili watengeneze marobbot ya kuyakremisha upuuzi, maana katika ujamaa kiongozi ni "mungu" ndio maana ujamaa unakana uwepo wa Mungu.
Kuwa Hata muasisi alikuwa mjamaa kweli bado haijadhihilika maana turnaround ya JK Nyerere 1966 haieleweki kuwa kwanini ujamaa ulianza kujadirika mala baada ya mapinduzi ya 1964?
Jk Nyerere alikuwa bepari in the beginning mind you!
CCM bado ni cha laghai! Au LA mtaje mjamaa mmoja huko
Kwanini watu ni rahisi kuonyosha kidole upande mwingine na wanashindwa kujiridhisha kama mchawi anaweza kuwa ndani nyumba yao?Kumbuka Meko anatumia pesa nyingi kuvuruga miundombinu,Ni kijana gani kapata shida kuliko Lijualikali,Mdee na Mdude,Je,Unafikiri ni vijana wangapi wanatamani lakini hofu ya Kutekwa imewarudisha nyuma kimapambano?
Kumbuka Meko anatumia pesa nyingi kuvuruga miundombinu,Ni kijana gani kapata shida kuliko Lijualikali,Mdee na Mdude,Je,Unafikiri ni vijana wangapi wanatamani lakini hofu ya Kutekwa imewarudisha nyuma kimapambano?
Kama nchi inaongozwa na chama Cha kijamaa tunahitaji kuona sera za serikali zinareflect ujamaa.Hapo ndio unakosea unahusisha maisha na mwenendo wa mtu binafsi na mfumo wa kisiasa. Ujamaa ni mfumo wa kuongoza nchi kuliko imani ya mtu moja moja, ukitoa mifano ya Nyerere na Paul Sozigwa walikuwa ni watu wa aina fulani haimaanishi na nchi lazima iwe kama wao. Ni sawa na kusema ikiwa Mbowe ni mfanyabiashara na ametoka kwenye familia ya kitajiri basi hana uwezo wa kumuongoza mtu masikini kwasababu hakuwa umasikini ni nini.
CCM ni chama cha kijamaa, na ujamaa sio mfumo wa kuwafanya watu wawe masikini na wala haikatazi mtu awe tajiri, ila ni mfumo ambao haumuachi mtu yoyote nyuma kwa kukosa fedha. Ndani ya mfumo wa ujamaa, mtoto wa masikini na mtoto wa tajiri wote wanatakiwa kupata huduma zote za msingi bila kubaguliwa. Ukija kwenye mfumo wa kibepari au kihafidhina kama wa CHADEMA (let the market decided), utakuta yule mtoto wa tajiri anapata huduma zote za msingi kutokana na uwezo wake wa kifedha, huku mtoto wa masikini aidha anapata huduma ya hali ya chini au hapati kabisaa kwa kukosa fedha.
Kachukue wewe hizo hatua.Msimamo gani wa chama? Kumzuia mbunge kutekeleza majukumu yake? Zipo hatua nyingi za kuchukua ili kulinda uhai wa chama. Wangeweza hata kuwapa karipio lakini siyo kuwafukuza hasa kwenye kipindi hiki cha lala salama. Halafu wananchi wakiwapiga chini mnasingizia mmeibiwa kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize Wasukuma Jina MAYALA lina maana gani??hapo utakuwa umepata majibu!!!Mshana Jr, mtabiri maarufu wa JamiiForums ndugu Pascal Mayalla kasema hitma ya CHADEMA iko mikononi mwa Lwakatare.
Una lolote la kumuuliza bw. Pascal Mayalla kutokana na utabiri wake huo?