wagagagigi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 890
- 986
Hapa kwa kweli umetusemea wengi mkuu!Kuna zimwi kubwa sana gizani linalowatisha vijana nuruni... Mwisho wa siku
Uthubutu unakufa
Utayari unapotea
Ndoto zinafifia
Kauli ya yule katibu mkuu ilinisikitisha sana na iliwakatisha tamaa vijana wengi.. I have a family to feed not the public to impress...!
Just imagine mtazamo kama huu kwamba tunafanya siasa ili kuifurahisha hadhira... [emoji848][emoji124][emoji124][emoji144][emoji144][emoji144]that one was too low...
Jr[emoji769]
Hongera kwa kula chumvi nyingi, labda itusaidie kama maelezo yako yalizingatiwa kwenye mfumo wa Communist au Socialism. Sina imani kama mifumo hiyo inafana kwa aslimia 100%.Unaujua ujamaa wewe? Naona unapiga porojo wenzio wenye chumvi nyingi tumeuona na wengine waliuishi!
CCM ni wajamaa kiutawala na si kiitikadi, ujamaa Mwenyekiti ni Mungu ndio maana hapo awali kulikuwa na slogan kama "zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti"" si kwa makosa Bali ndivyo ujamaa ulivyo. Vitu viingi huvijui wewe na unabishana na magwiji.
Hata Nyerere mwenyewe hakuwa mjamaa ndio kisa cha kukosana na Kambona, maana Oscar alimuuliza mbona wewe si mjamaa kwanini unaiingiza nchi kwenye itikadi usiyoiamini Hata wewe? Na Mwalimu alijua ukitaka usipinduliwe eneza itikadi za kijamaa, maana utatisha watu na utakuwa mungu MTU, yote yalitokea baada ya mapinduzi 1964. Ulizia kama je Mwalimu alikuwa mjamaa kabla ya mapinduzi na nikwanini alikuwa na urafiki na JF Kennedy na west Germany? Wakati wa cold war!!
Hujui vingi wala usijitutumue, kiufupi CCM ni chama laghai cha kijamaa bila mjamaa
Ukiachana na kile kitengo cha propaganda cha CCM na ile praise team. Wengine wote hatupaswi kuwa na muono kimo cha mbilikimo. Ni lazima tuwaze zaidi ya mwisho wa uono wa macho yetu.
Nimemuona P kwenye mada za CHADEMA. Utabiri wa mabaya. P ulituasa tuepuke prophecy of doom. Tusiwaase wengine huku sisi tunatenda.
Natambua mgongano wa mawazo na hoja. Natambua tofauti za kimtazamo kati yetu lakini haya yasitufanye tukafika mahali tukawa na mitazamo finyu. Tunaihitaji CHADEMA kama taasisi imara ili CCM isijisahau sana. Miaka ile ya 1995-2005. Wakati huo NCCR kikiwa chama chenye nguvu na ushawishi, kuna mengi yaliyotokea lakini pengine hayakumbukwi sana.
Alitokea Augustine Mrema, waziri machachari wa CCM aliyebwaga manyanga na kujiunga na NCCR Mageuzi. Wengi bado tunakumbuka kilichotokea pale, kukawa na vichwa hasa.
Baadae NCCR ikafitinishwa na kumgeuka. Kukawa na NCCR mbili. Huo ndio ukawa mwisho wa kile chama. Kuna mtu pale NCCR mmojawapo wa viongozi mahiri akiitwa Prince Bangeda. Mpaka leo sijui alitofautiana nini na Mrema. Alimuandika vibaya na kumchambua Mrema kwenye safu yake ndani ya gazeti la Rai kila Jumatano kwa makala ndefu ndefu kwa miezi kadhaa. Nadhani hakuna mwanasiasa alichambuliwa na kuandikwa vibaya mpaka leo hii kama alivyofanya Bangeda kwa Mrema.
Leo hii Bangeda yuko wapi na Mrema yuko wapi? Unapotumika angalia unatumikaje. Usipojiongeza, wanaweza kukufanya kama toilet paper.
CHADEMA inapigwa vita sana kwakuwa ni mwiba mchungu kwa CCM. Project za kukiangamiza hiki chama ni nyingi mno. Watu wanaotumika ni wengi mno. Pesa iliyokwisha tumika ni nyingi mno. Hakuna chama cha siasa kimepitia mapigo mengi kama CHADEMA, lakini mpaka leo kipo hai na kinadunda. Kukiombea kife ni:
Kupoteza matumaini ya vijana wasomi wengi
Ni kupoteza viongozi wazuri wa kesho
Ni kupoteza matumaini na furaha wa wapiga kura milioni 7
Ni kupoteza matumaini na furaha ya wapenzi, washabiki na wafurukutwa zaidi ya milioni kumi
Hakuna kosa kubwa tutalifanya kama kuombea CHADEMA ife. Hiyo laana haitakaa ituache, itakula nasi sahani moja. Kama tulikubali NCCR na CUF vinyongwe, tusikubali haya kwa CHADEMA.
Viongozi walioko CHADEMA ni binadamu kama wewe na mimi wana mapungufu yao, lakini kwenye mizania ya haki wana mengi mazuri ya kukumbukwa vizazi na vizazi. Wanahitaji tuwatie moyo, tuwasaidie na kuwapa faraja kwenye kila hatua wanayopitia. Tusiwakatishe tamaa. CCM iliyokuwa na upendo wa kweli kwa Watanzania ni ile ya Mwalimu Nyerere tu. Baada ya hapo ni vurugu mechi kwa kwenda mbele.
Makala nyingi za kuiponda CHADEMA na kukiombea mabaya hata kama sio sehemu ya zile project zina ukakasi na kuacha maswali mengi kuliko majibu.
Je, kuna personal issues nje ya politik?
Jr[emoji769]
1 Alphonce Mawazo alipigwa akauawa na vijana wa green guard mchana kweupe jeshi la polisi likazuia hata mazishi yake yasifanywe na wanachama wenzake.Challenging injustice or operation can be done peaceful and end up with long lasting solution when all sides agree. Duniani kote fighting operations forceful hasn't brought a lasting solution, sio South Africa, sio Marekani wala sio Afghanistan. Chadema they like to use these type of tactics of forcing their way through because it suited few hardliners but majority of Tanzanian's wanaona ni ukorofi na hawapendi kuona malumbano. Mwisho wa siku mnapoteza wafuasi kuliko kuongeza.
Sorry but hizi ni hoja majnuniSijuwi kama unauwezo wa mahakamani na kutoa ushahidi usio na shaka kuhusu hizi hoja zako. Ni kwa mtu kuamini kile anachotaka kuamini kuliko kutafuta ukweli. Watu wanasema Chacha Wangwe hakutendewa wema na watu ambao wako ndani ya Chadema. Wengine wanasema Saanane ni mkono wa mwenyekiti, au dereva wa Lissu anajua mengi kuliko vile tunavyojua na nguvu kubwa inatumika kumficha, je utakubalia na hizi hoja?
Ndio hoja za "hear say" zilivyo. Mtu anajiokotea maneno hapa na pale bila ya kuwa na uhakika.Sorry but hizi ni hoja majnuni
Jr[emoji769]
kwa hiyo CCM ndo watuchagulie chama furani ndo kiwe cha upinzani? Yaan Leo hii NCCR MAGEUZI ndo wawe chama kikuu cha upinzani tena kwa kuchaguliwa na ccm.Survival of the fittest. Hutakiwi kusema tusikiombe mabaya Bali wao kama chama wanatakiwa wafanye kazi bora itakayowafanya wasurvive. Kwangu Mimi sipendi kabisa matusi nankejeli na fujo za CDM. Kwa kuwa wewe umewapamba watakusifu ila njoo uthubutu kuwakosoa utaoga matusi, je wewe unaona hicho ndo chama cha upinzani kweli. Muda wote lazima kuwe na kiongozi, kukitokea vacuum lazima nature ichukue mkondo na kiongozi apatikane. Kwa sasa CDM imeshashindwa na lazima chama kiongozi cha upinzani kipatikane sio kwa mapenzi Bali kwa ubora. Na mtindo wenu wa kumfanya reference MTU anapokuja tofauti na ninyi haujatulia, mwacheni p alete mawazo yake na sio kumuattack kama mnavyofanya
hayo maneno ya jalalani aliyatamka yeye mwenyewe tena mbele ya boss wake. Sasa kosa letu liko wapi kumwita mzee was jalalani ?Kitendo cha kumuita mtu mzima ni wa jalalani sio ustaarabu. Hii ni nchi huru na kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake. Kama mtu anaona kiuhalisia hatima ya Chadema ipo mikononi mwa Lwakatare hayo ni maoni yake. Wewe ulipaswa uje ukanushe anachokisema sio kuleta kebehi.
Mtu akiniambia CHADEMA ni chama bora, nashindwa kuelewa ubora uko wapi. Ikiwa miaka yote hii kimeshindwa kuwaandaa vijana wasomi kuchukuwa nafasi za uwongozi, sijui huo ubora unatoka wapi? Kijana anachukuliwa chuo kikuu, akiingia CHADEMA anafundisha kupinga kila kitu na kukimbizana na dola. You can't create tomorrow's leader by disobeying the rule of law.
Ukiwa CHADEMA lazima uwe tayari kutafuna pesa ya umma bila woga wala ukakasi, mikutano kwenye mahoteli makubwa, safari za nje zisizo za lazima, magari ya kifahari hata mmiliki hajulikani ni nani kusema hicho ndio chama cha mfano, sio kwa mfumo uliopo.
Hata itikadi, CHADEMA imeshindwa kuwa hata na kachuo kadogo kutowa somo la itikadi kwa viongozi watarajiwa ili kuwe na muongozo hawa wajuwe CHADEMA inasimamia kitu gani. Halafu watu wanashangaa kuona wanachama wanakihama chama, ni kwasababu wanafikiri CHADEMA na CCM wote wako sawa lakini ni vyama vyenye misimamo tofauti.
Hizo ni ndoto za Mchana zako tu za kumfagilia Dr.wa kushindia Mihogo ambaye si chochote wala si chochote kwa Chadema vita kubwa sana ya Chadema inatoka awamu hii ya tano ambayo toka iingie madarakani ilikuwa imekamia kuiua kwa njia zozote zile walianza kutuma mamluki na kununua madiwani na wabunge wakitarajia wataweza kuiua Chadema lakini hawakuweza walianza kuwafungulia kesi za kubumba hata hivyo Chama kinaendelea sababu Chama kiko kwenye mioyo ya watu.Najua hata wewe Mkirindi utaanza kuimba mapambio yanayoimbwa na ccm ya kumlaumu Mbowe kwa kila jambo kwa sababu tu ameweza kuzima mishale miovu kutoka ccm.Wataendelea kutuma mamluki kwa kisingizio cha CHADEMA MNAJINYONGA WENYEWE.Lakini ukweli utabaki kuwa ccm wanaweweseka sana hawana tumaini maana wananchi hawana haja nao,Maana wamepoka madaraka ya wananchi na kuwapa polisi,tume na wakurugenzi kuwachagulia viongozi.Pia wananchi wanajua sana hata hii mbinu ya kuwafanya NCCR-MAGEUZI kuunda na kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya October 2020 hii ni njama ovu ya ccm kuunda upinzani poyoyo unaosifiwa na wao!!!Ndugu, sidhani kuna chama kimekufa na kufutika kabisa, hata CUF bado kiko jina, kadhalika vyama vingi. Tunachozungumzia ni kinachokiuwa chama ni vita ya ndani na sio ya kutoka njee. Msijidanganye mambo hayajakuwa shwari Chadema tokea Lowassa ahamie chadema hadi sasa.
Enzi za akina Slaa, Zitto mlikuwa macho sana, mliona kila kombora linalolengwa kwenu na kulipangua, lakini sasa makombora yanatua.
Ninacho sema Msiangalie vita mnayopigwa na serekali na CCM, angalieni matatizo yenu ya ndani ambayo ndiyo ya hatari sana kwa uhai wa chama, na mkiambiwa hivyo mnakurupuka na kujitetea bila hata plani, CHADEMA MNAJINYONGA WENYEWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa endeleeni kujifumba macho, na kuwabambikiza lawama wengine ya maovu ndani ya chama.Hizo ni ndoto za Mchana zako tu za kumfagilia Dr.wa kushindia Mihogo ambaye si chochote wala si chochote kwa Chadema vita kubwa sana ya Chadema inatoka awamu hii ya tano ambayo toka iingie madarakani ilikuwa imekamia kuiua kwa njia zozote zile walianza kutuma mamluki na kununua madiwani na wabunge wakitarajia wataweza kuiua Chadema lakini hawakuweza walianza kuwafungulia kesi za kubumba hata hivyo Chama kinaendelea sababu Chama kiko kwenye mioyo ya watu.Najua hata wewe Mkirindi utaanza kuimba mapambio yanayoimbwa na ccm ya kumlaumu Mbowe kwa kila jambo kwa sababu tu ameweza kuzima mishale miovu kutoka ccm.Wataendelea kutuma mamluki kwa kisingizio cha CHADEMA MNAJINYONGA WENYEWE.Lakini ukweli utabaki kuwa ccm wanaweweseka sana hawana tumaini maana wananchi hawana haja nao,Maana wamepoka madaraka ya wananchi na kuwapa polisi,tume na wakurugenzi kuwachagulia viongozi.Pia wananchi wanajua sana hata hii mbinu ya kuwafanya NCCR-MAGEUZI kuunda na kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya October 2020 hii ni njama ovu ya ccm kuunda upinzani poyoyo unaosifiwa na wao!!!
Sasa wewe unataka tuchaguliwe chama kikuu cha upinzani na mabeberu kweli?kwa hiyo CCM ndo watuchagulie chama furani ndo kiwe cha upinzani? Yaan Leo hii NCCR MAGEUZI ndo wawe chama kikuu cha upinzani tena kwa kuchaguliwa na ccm.
Wewe endelea kumsifia Dr.wa kushindia mihogo yeye kapewa shavu wewe endelea kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu yawezekana na wewe watakufikiria lakini usahau kuiua Chadema maana iko kwenye mioyo ya watu!!!!Sawa endeleeni kujifumba macho, na kuwabambikiza lawama wengine ya maovu ndani ya chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu mwenendo wa CHADEMA kisiasa huwa najiuliza ni ugonjwa gani unawasumbuwa WanaCHADEMA kiasi hawabadiliki?Kama ccm wanaamini wanaweza kupambana hebu wasitumie mbeleko ya dola.
Sent using Jamii Forums mobile app
How do you fight against your oppressor?Challenging injustice or operation can be done peaceful and end up with long lasting solution when all sides agree. Duniani kote fighting operations forceful hasn't brought a lasting solution, sio South Africa, sio Marekani wala sio Afghanistan. Chadema they like to use these type of tactics of forcing their way through because it suited few hardliners but majority of Tanzanian's wanaona ni ukorofi na hawapendi kuona malumbano. Mwisho wa siku mnapoteza wafuasi kuliko kuongeza.
Unajiuliza wakati majibu yako wazi ?Kuhusu mwenendo wa CHADEMA kisiasa huwa najiuliza ni ugonjwa gani unawasumbuwa WanaCHADEMA kiasi hawabadiliki?
Wapi Movement for Change (MC4)?
Ilikuwaje maandamano nchi nzima hayakufanyika?
Ni matokeo gani chanya, Chama kama chama, kinapata Wabunge wanaposusia vikao vya Bunge, hasa vya bajeti?
Je, ni kweli viongozi wanaokihama chama wananunuliwa?
Je, ni kweli viongozi waliopotea kuns mkono wa Serikali?
Mbowe kawafanyia nini kiasi VIONGOZI wenzake, wanachama na wafuasi hawathubutu kumhoji kuhusu kauli na matendo yake, kama wenyeviti wa vyama vingine, km fukuza fukuza ya viongozi wenzake na matumizi ya fedha za chama?
Majibu ya maswali hayo, na mengineyo, ambayo tutayauliza wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, yatakuwa kipimo cha uhai wa CHADEMA.
Ndugu tuwe na busara, sikumsifia wala sitamponda, ila nimetoa mfano wakati wa uongozi wake chadema ilikuwa na umakini wa kupata mupangi yote ovu ya ccm kwa chadema. Ukilinganisha na sasa chadema ilivyokuwa njia panda.Wewe endelea kumsifia Dr.wa kushindia mihogo yeye kapewa shavu wewe endelea kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu yawezekana na wewe watakufikiria lakini usahau kuiua Chadema maana iko kwenye mioyo ya watu!!!!
P anachemka kwa kutaka kutuaminisha ivo na wala haitakaa iwe, "Kwani Lwakatare yeye nani bhana....!!?
Kashakengeuka na wenye akili tuko pembeni tunamwangalia anavyoji-mwambafai na ataumbuka ngoja muda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app