Ni haki yako kunijibu hivyo,lakini kwenu nyie chadema ndio mabingwa wa siasa za chuki za wazi waziHaya ndio matokeo ya siasa za chuki zilizoasisiwa na ccm.. Huu wako kabombe ni mtazamo finyu mno
Jr[emoji769]
Bado sana kabombe.. Bado sana unachojadili ni hisia zenye mwelekeo wa kuhijamiNi haki yako kunijibu hivyo,lakini kwenu nyie chadema ndio mabingwa wa siasa za chuki za wazi wazi
Mbowe alishatoa waraka rasmi kuelekeza,wabunge na madiwani wasitoe ushirikiano kwenye ziara za viongozi wa kitaifa
Mlishakubaliana bungeni msiwasalimie wala kuongea na wabunge wa ccm
Nakuelewa lakini siasa zimepoa mno na zimekuwa za kubembelezana mno, hivi mbona viongozi wengine walikuwa wanaogopa upinzani mpaka wananywea wenyewe? hofu yangu ni kwamba uandaaji wa vijana umekuwa Mdogo mno na vijana wachache wamekuwa warahisi kulubuniwa, nakubaliana na wewe uwepo wa CDM unasaidia kuitisha sisiemu lakini natamani kuwe na moto kama enzi za nyuma, na nimuombe Mbowe aibue vijana wenye nguvu na wapenda mabadiliko aachane na hawa wakuja tuNi ngumu kwa sasa kufanya siasa za kiharakati. Mazingira tuliyonayo hayaruhusu tena. Lakini pia tulianza kuyumba pale tulipoamua kujitoa ufahamu na kuilinda CCM kwa namna yoyote ile.
Jr[emoji769]
Hv huyo jamaa anaushawishi Zaid ya zitto zuberi??ana ushawish kuliko padre slaa???Mshana Jr, mtabiri maarufu wa JamiiForums ndugu Pascal Mayalla kasema hitma ya CHADEMA iko mikononi mwa Lwakatare.
Una lolote la kumuuliza bw. Pascal Mayalla kutokana na utabiri wake huo?
Is either you don't know your narratives au unamaksudi, au uelewa Mdogo.Mtu akiniambia CHADEMA ni chama bora, nashindwa kuelewa ubora uko wapi. Ikiwa miaka yote hii kimeshindwa kuwaandaa vijana wasomi kuchukuwa nafasi za uwongozi, sijui huo ubora unatoka wapi? Kijana anachukuliwa chuo kikuu, akiingia CHADEMA anafundisha kupinga kila kitu na kukimbizana na dola. You can't create tomorrow's leader by disobeying the rule of law.
Ukiwa CHADEMA lazima uwe tayari kutafuna pesa ya umma bila woga wala ukakasi, mikutano kwenye mahoteli makubwa, safari za nje zisizo za lazima, magari ya kifahari hata mmiliki hajulikani ni nani kusema hicho ndio chama cha mfano, sio kwa mfumo uliopo.
Hata itikadi, CHADEMA imeshindwa kuwa hata na kachuo kadogo kutowa somo la itikadi kwa viongozi watarajiwa ili kuwe na muongozo hawa wajuwe CHADEMA inasimamia kitu gani. Halafu watu wanashangaa kuona wanachama wanakihama chama, ni kwasababu wanafikiri CHADEMA na CCM wote wako sawa lakini ni vyama vyenye misimamo tofauti.
Umesahau kuundiwa zengwe na kufukuzwa kazi kabisaMimi naona kuna fitina nyingi zimefanywa ili kuuwa Uhuru wa vyama vingi kitu ambacho kitatugharimu sana sioni kwanini nguvu kubwa inatumika hapa Upinzani umegezwa kuwa adui wa taifa hili,na dhambi iliyozaliwa hapo ni chuki yaani unamnyanyasa binadamu kwa kuwa yeye ni msema kweli.
Ccm ya kweli ni ile ya nyerere hii ya Leo ni ya unafiki,watu wanajikweza na kujivika utukufu ,sio wote waliohamia ccm wanaipenda ni basi tuu ,ukiwa mpinzani utatekwa,utabambikizwa kesi utanyang'anywa wanachama kwa nguvu,utauwawa....! We are our own limit
Kuna zimwi kubwa sana gizani linalowatisha vijana nuruni... Mwisho wa sikuNakuelewa lakini siasa zimepoa mno na zimekuwa za kubembelezana mno, hivi mbona viongozi wengine walikuwa wanaogopa upinzani mpaka wananywea wenyewe? hofu yangu ni kwamba uandaaji wa vijana umekuwa Mdogo mno na vijana wachache wamekuwa warahisi kulubuniwa, nakubaliana na wewe uwepo wa CDM unasaidia kuitisha sisiemu lakini natamani kuwe na moto kama enzi za nyuma, na nimuombe Mbowe aibue vijana wenye nguvu na wapenda mabadiliko aachane na hawa wakuja tu
Sent using kidole gumba
Epukeni matendo tata kuepuka hizo prophecy sasa unamfukuzaje mbunge kisa kahudhuria kikao cha bunge una akili Wewe? Wakati unajua in wajibu wa mbunge kuhudhuria vikaoTuepuke prophecy of doom
Jr[emoji769]
Kila jambo lina taratibu kanuni na sheria zake... Wahusika ndio wanaweza kuzitafsiri katika uhalisia wake na si watu baki nje yaoEpukeni matendo tata kuepuka hizo prophecy sasa unamfukuzabunge kiss kahudhuria kikao cha binge una akili Wewe? Wakati unajua in wajibu wa mbunge kuhudhuria vikao
Wacha mkuu kuna pembe tatu imejivika utukufu utanielewaUmesahau kuundiwa zengwe na kufukuzwa kazi kabisa
Sent using kidole gumba
Kitendo cha kumuita mtu mzima ni wa jalalani sio ustaarabu. Hii ni nchi huru na kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake. Kama mtu anaona kiuhalisia hatima ya Chadema ipo mikononi mwa Lwakatare hayo ni maoni yake. Wewe ulipaswa uje ukanushe anachokisema sio kuleta kebehi.Mshana Jr,
Mshana asante kwa bandiko hili. Sidhani kama kuna mtu wa ku- comprehend such a big mind post.
Ukiona mtu mzima, ana mke na watoto anajiita wa Jalalani ili apendelewe na mwanadamu mwenzake, ujue tuna tatizo kubwa sana.Tunahitaji mageuzi makubwa! A new liberation struggle is needed, tena armed struggle for that matter!
Eti wahusika kwa hiyo wapiga kura out hawaruhusiwi kutafsiri? Chadema no secret society kuwa kumwachisha uanachama mbunge anayehudhuria vikao vya binge ni kosa?Kila jambo lina taratibu kanuni na sheria zake... Wahusika ndio wanaweza kuzitafsiri katika uhalisia wake na si watu baki nje yao
Jr[emoji769]
Aise ipo kazi kubwa ya kufanya.Kuna zimwi kubwa sana gizani linalowatisha vijana nuruni... Mwisho wa siku
Uthubutu unakufa
Utayari unapotea
Ndoto zinafifia
Kauli ya yule katibu mkuu ilinisikitisha sana na iliwakatisha tamaa vijana wengi.. I have a family to feed not the public to impress...!
Just imagine mtazamo kama huu kwamba tunafanya siasa ili kuifurahisha hadhira... [emoji848][emoji124][emoji124][emoji144][emoji144][emoji144]that one was too low...
Jr[emoji769]
mh aiseeMtu akiniambia CHADEMA ni chama bora, nashindwa kuelewa ubora uko wapi. Ikiwa miaka yote hii kimeshindwa kuwaandaa vijana wasomi kuchukuwa nafasi za uwongozi, sijui huo ubora unatoka wapi? Kijana anachukuliwa chuo kikuu, akiingia CHADEMA anafundisha kupinga kila kitu na kukimbizana na dola. You can't create tomorrow's leader by disobeying the rule of law.
Ukiwa CHADEMA lazima uwe tayari kutafuna pesa ya umma bila woga wala ukakasi, mikutano kwenye mahoteli makubwa, safari za nje zisizo za lazima, magari ya kifahari hata mmiliki hajulikani ni nani kusema hicho ndio chama cha mfano, sio kwa mfumo uliopo.
Hata itikadi, CHADEMA imeshindwa kuwa hata na kachuo kadogo kutowa somo la itikadi kwa viongozi watarajiwa ili kuwe na muongozo hawa wajuwe CHADEMA inasimamia kitu gani. Halafu watu wanashangaa kuona wanachama wanakihama chama, ni kwasababu wanafikiri CHADEMA na CCM wote wako sawa lakini ni vyama vyenye misimamo tofauti.