Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Damn wazee nipo Dom Kondoa Kuna visu hakuna mfano. Nimeamu nifanye yafuatayo
1. Siondoki tena Kondoa.
2. Nimempigia baba mkwe kule Bariadi na
nimemwambia wale Ng'ombe kumi 14 waliowataka Ili waniozeshe binti yao wasahau.
3. Mchepuko wangu wa kinyiramba pale singida siutaki Tena japo roho inaniuma sana kuuacha.
4. Nimemsamehe yule Binti wa kichaga rasmi aliyeniacha kwenda kuolewa na mwenye nazo miaka sita iliyopita.
NB: Namlaumu sana baba mkwe wa Bariadi.