Siondoki Kondoa kabisa naoa huku huku.

Mropoka Hovyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2023
Posts
446
Reaction score
1,253
Damn wazee nipo Dom Kondoa Kuna visu hakuna mfano. Nimeamu nifanye yafuatayo

1. Siondoki tena Kondoa.

2. Nimempigia baba mkwe kule Bariadi na
nimemwambia wale Ng'ombe kumi 14 waliowataka Ili waniozeshe binti yao wasahau.

3. Mchepuko wangu wa kinyiramba pale singida siutaki Tena japo roho inaniuma sana kuuacha.

4. Nimemsamehe yule Binti wa kichaga rasmi aliyeniacha kwenda kuolewa na mwenye nazo miaka sita iliyopita.

NB: Namlaumu sana baba mkwe wa Bariadi.
 
Baba mkwe wa Bariadi usimlaumu badala yake mshukuru.

Ona sasa, umeenda kupata sehemu roho inapenda.
 
Naomba huyo mcheps wako wa kinyiramba hapo singidani basi
 
Umefanikiwa kuoa mwanamke asiyekataa mwanaume yoyote jiandae kugongewa na kila mwanaume ... kifupi hawakatai mtu.
 
pole sana kwa kudondokea kwa wakaanga sumu.
 
Naona we mtoto ukikua utajua ndoa haihitaji visu inahitaji wife material
kila la heri
 
[QUOTE="Mzee wa kazi ngumu, post: 51474917, member:

2. Nimempigia baba mkwe kule Bariadi na
nimemwambia wale Ng'ombe kumi 14 waliowataka Ili waniozeshe binti yao wasahau.

3. Mchepuko wangu wa kinyiramba pale singida siutaki Tena japo roho inaniuma sana kuuacha.


[/QUOTE]

Mbona kama kamba hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…