Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Wanakuja Saa Ngap......??Subiri wanakuja kutoa maoni yao.
Lugha zingine banaSIONGEI ENGLISH TENA:
Amini usiamini ENGLISH ni Lugha ya wanyama na ndege, kwani:-
PAKA:Ukimcheleweshea maziwa utasikia anasema NOW, NOW!
NG'OMBE:Naye acposhiba utamsikia MORE, MORE!
MBWA:Ukipita karibu na kwao kama hakujui
lazima atakuuliza WHO,WHO!
KIFARANGA:Kikitotolewa utakisikia kikisema NEW, NEW!
MBUZI: nao ni masharobaro kweli utawasikia
MEN,MEN!
Hii kweli hatari acha kujaribu kimoyomoyo soma kwa sauti.
[emoji2][emoji2][emoji2]
Kiviere Wa Usangi
Wanakuja mkuuWanakuja Saa Ngap......??
Kiviere Wa Usangi