Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Kwa utoto alioufanya Azam msimu uliopita akashindwa kufuzu shirikisho vs sijui kale ka timu ka wapi sioni Azam akicheza champions league msimu ujao
Azam akishinda mechi ya kwanza hatua za awali anatakiwa apambane na fc Pyramids ya Misri, tena anaanzia Chamazi anaenda kumalizia Misri sioni akaiwatoa Pyramids
Tanzania itawakilishwa na timu Moja tu cl ijayo, what a waste