Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

Kalio kubwa ni muhimu kuchakazia vitanda na mashuka ili ununue Vifaa vipya
 
Mkuu kweli unataka kutuambiya kulala kwenye mkeka na kulala kwenye godoro ni sawa?
 
Godoro kausingizi katamuuu! hasa ukiwa na neti, na kaupepo kanapulizia km kule Salasala ya Kilima hewa! heee! but mkeka mawee!!! mbavu, mgongo, ugoko,kichwa vinauma km umeliwa na mbu!
Basi mwanamke mwembamba hawezi kuwa sawa na mwenye kalio kubwa....mkuu..nashukuru kwa kunielewa vyema mkuu
 
Kuna vivutio ili kufika mahala husika. Mfano hoteli nzuri lakini ndani maziwa ni yale yale, ila uzuri ndio umekuvutia ambao ubaki kichwani mwako wakati ukinywa maziwa.
 
Ndio haya baba tumebarikiwaga nayoo
Eti hii nayo ina mnyonge wake jamani! anapendwaaa!!!!!, yaani hii kama unaendesha gari vile, mkono huku mmoja, na kule mmoja, sometimes kati unaingiza na kupangua gia kwenye kilima, ikikaa sawa, then unarudisha mkono tena kwenye sterling duuu!

I salute you all !!! Ila mtusameage tu tukiwakosea, tukiwaudhi?? tunawaudhi kwa tahadhari moyoni kwa kificho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…