Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

Kweli kila mtu anavutia kwake. Ww umeoa mke asiye na kalio halafu unaandika kitu cha ajabu hapa JF ili kujitia moyo? Acha mambo zako ndugu
 
Hakuna kapicha???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23]
 
Matacall yananogesha sana shughuli ya kunyanduana.


Just imagine tu
 
Mwanamke tako bwana.
Hata chumbani unaona raha na kujiamini.
Flat sasa. Mnaonekana wote wanaume chumbani.

Shemeji au wifi yetu anaflat screen nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tako linatakiwa liwe la wastani kama la Mobetto,Lulu etc manake wanakunjika vizuri style yeyote......na siyo la minyama minyama kama shi shi bebi ambaye akivua nguo hata mashine inalala
 
Etwege ndugu yangu kimekukuta nini? yaani usomi wooote uliokuwa nnao,madigree yoote ulotunukiwa,kweli leo unaishia kukosoa kalio kubwa!!?
Kwamba huoni faida yake!!?
Kweli nimeamini ELIMU tanzania imeshuka
Duuuuhhh, huu uzi huu hatari
 
Tatizo misambwanda kuna dizaini tofauti tofauti...kuna ile ya minyama minyama....akivua nguo hamu yote inakwisha
 
Pasipo kiungo kimoja mwili hauwezi kukamilika.

Kila kiungo kina kazi yake na faida yake mwilini.

Ikiwa halina faida katika shughuli hiyo bila shaka litafaa kwa shughuli nyingine.
 
Kwa mkuu umeamua kuweka na mistari ya Bible kabisa kusapoti misambwanda.
Mkuu, Ni shughuli nyingine ya kawaida tu kama ya KUKAA wala sina maana nyingine.

Na kuwavutia wanaume wengine wakati jike akitembea kusudi la ukamilifu wa uzuri wa uumbaji utimilike.

Mwingine anamtamani mwanamke kwa macho yake, au uso wake, sauti, au makalio, Na vingine vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…