Sioni Gen Z Wakifanikiwa

wakati huu serikali inabidi ijenge mahusiano mazuri na nchi jirani, kama ikatokea nchi jirani ikawapa silaha gen z, hii nchi patachimbika vibaya saaana, yani huo mziki wake polisi hawauwezi
 
Kabla ya tarehe 29/10/2025, mwenzako mwingine huyu hapaπŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ» alikuwa haamini kuwa Watanzania wanaweza kutoka kuandamana kupinga uchaguzi mkuu wa mchongo

View: https://youtu.be/1g2BvzdbS80?si=XIYajgygIH2S8yasNadhani huko aliko, amejidharau na kujiona kuwa ni bwege namba moja mtaani kwake

Na wewe jiandae kuitwa bwege kwa kuwa huamini ila unataka kuona kwa macho, na kwa hakika utaona kwa macho yako❗❗

Jiandae kuona yote, na jiandae kushuhudia ajuza wenu Chura Kiziwi a.k.a Iddi Amin Samia akichomolewa toka ikulu yetu kama kibaka wa kike.

We don't care watatuitaje majina gani.

Kama ni majina ya laana, basi hiyo laana tunairudisha kwenye vichwa vyao na vya watoto wao!!
 
Mkuu lazima tukubaliane kwamba si kila mtu anatakiwa kuwa Mbogamboga na si kila mtu lazima awe kule Simba.
Kuwa Simba au Yanga isiwe sababu ya chuki iletayo mauaji.
Ni kwanini waandamanaji wanaamini wao Wana haki zaidi juu ya mawazo na itikadi za wengine ?
 
Mimi sipingi au sikatai kwamba hawataandamana ila sioni serikali kuangushwa kwa stahili hii

Muda utaongea
 
Kitendo tu cha kuwaita wahuni waliojiingiza madarakani kwamba ni serikali tayari huo ni ujinga.

Hatuna serikali bali genge la wezi na wanyonyaji wa rasilimali zetu.

Hatuja mchagua rais wala muwakilishi yeyote, waliojiweka hawana uhalali kufanya lolote kwenye taifa hili.

Huwa siipendi hii lugha ya kuwaita waandamanaji wote ni GenZ, wewe ambaye sijui ni Gen X , Y or millenia hutaki mabadiriko ya mfumo mbovu uliopo, wewe una furahia utekwaji, upotezwaji na uuwaji unaofanywa na ccm na polisi wao?

waandamanaji siyo Gen Z pekee bali ni wananchi wanao kerwa na uovu unao fanywa na ccm kushirikiana na polisi wao.

Na kama wewe huto shiriki, mimi nitashiriki siogopi kuitwa, muhuni, kibaka, AI, mkenya, mgeni au jina baya.

Nutaandamana kuwaondoa ccm na vibaraka wao wote kwa njia yoyote lakini failure siyo option kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…