Sioni haja ya kwenda chuo

Ishu ni pesa sio elimu ya chuo,kama una maarifa ya kuingiza mkwanja piga chini elimu ya chuo!
Ungesema unaacha kutafuta pesa ningekushangaa.
 
Acha ujinga degree itakulipa siku moja, hata ukichelewa ila Itakulipa tu punguza papara..!
Kuna watu ni bodaboda mwaka wa 6 huu. Degree haijawahi kurejesha hata buku iliyotumika kwenye ada. Mleta mada yuko sahihi.

Hii ya kutiana moyo kuwa kuna siku degree italipa siyo guarantee.
 
Kuna watu ni bodaboda mwaka wa 6 huu. Degree haijawahi kurejesha hata buku iliyotumika kwenye ada. Mleta mada yuko sahihi.

Hii ya kutiana moyo kuwa kuna siku degree italipa siyo guarantee.
Watu wengi bado wanadhana potofu kuhusu degree, ni kama wameamninshwa bado ina manufaa! Ambapo kama hutoajiliwa na kujiajiri huna tofauti na mwenye cheti cha form 4
 
Reactions: G4N
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…