Mkishajuana mvue kabisa boxer hizo. Hatupendi usumbufu kwenye kugegedaWale Wakongo tujuane mapema.
Mwenye mimba hajifunzi kutiwa... jaza ujazwe...Kajifunzeni kilingala ili baada ya mechi muomboleze pamoja.
Jumamosi ndio leo.
Hana majibu, sidhani kama atapita tena mitaa hii [emoji16][emoji16]Jumamosi ndio leo.
Loser's anthem.....Ushindi wake mkubwa ni Draw. Na endapo atapita Basi Nitakuwa mshabiki wa Simba kwa Mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe msimamo wa mawazo yako tafadhali......Ushindi wake mkubwa ni Draw. Na endapo atapita Basi Nitakuwa mshabiki wa Simba kwa Mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumejaaa π π πUmechelewa sana simba itashina ila nafasi ya kuhamua mashabiki wapya imrkwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimkubusha haya maneno yake?Hifadhi maneno yako,pia kumbuka upo uwanja wa Samora hiyo jumamosi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnarudi congo na vumbi lenu hahhahahah mmechezea kichapo cha mbwa kokoWale Wakongo tujuane mapema.
Km ulijua watanyonyolewa π π πKajifunzeni kilingala ili baada ya mechi muomboleze pamoja.
Na hizo kelele tulizipiga haswaaa jana na bado tunaendelea kutumia haki yetu ya msingi ya kushangilia.Na bora wasishinde coz kelele itakuwa mingi !!