Sioni Pengo la Onyango na Kanute robo fainali ya shirikisho

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Onyango na Kanute watakosekana kutokana na kadi 3 za njano katika mchezo wa mkondo wa kwanza hapa Nyumbani dhidi ya Orlando pirate
Lakini sioni Pengo kwa kuwa mchezo huo utahitaji kushambulia zaidi basi itakuwa vizuri zaidi kwa Kuwa na Wawa ambaye atapush mashambulizi huku mkude akisogea juu zaidi kumuacha Lwanga aditect mashambulizi ya wapinzani.
Sioni Kama hilo ni Pengo kubwa
 
Hapa ni kujitahidi zibaki hizohizo nne za mwaka jana
 
Kwani si tumeshavuka stage moja so kadi zimefutwa na tunaanza upya?? Au sheria zinasemaje???
 
Kadi zitahesabika hadi hatua hii ya ROBO FAINALI?
 
Onyango na Kanute watakosekana kutokana na kadi 3 za njano katika mchezo wa mkondo wa kwanza hapa Nyumbani dhidi ya Orlando pirate
Lakini sioni Pengo kwa kuwa mchezo huo utahitaji kushambulia zaidi basi itakuwa vizuri zaidi kwa Kuwa na Wawa ambaye atapush mashambulizi huku mkude akisogea juu zaidi kumuacha Lwanga aditect mashambulizi ya wapinzani.
Sioni Kama hilo ni Pengo kubwa
Naamini ulitaka kusema "adictate " mashambulizi na siyo "aditect " mashambulizi.
Kuhusu matokeo ya mchezo, Simba haitaathirika na wachezaji hao kutokuwepo kwani ni mechi ya kukamilisha tu ratiba. Simba tuelekeze nguvu kwenye ligi kuhakikisha hatuna mpinzani kwenye nafasi ya pili.
 
Sawa Leo saa 2.15
 
Kadi zitahesabika hadi hatua hii ya ROBO FAINALI?
Sheria zinaelekeza kuwa, kama mchezaji ana kadi tatu tayari basi atasimamishwa mchezo mmoja unaofuata. Hivyo, Onyango na Kanoute watakosa mchezo mmoja.

Lakini, kama mchezaji ana kadi mbili basi kadi zake zitafutwa. Huku wachezaji wote wenye kadi mbili mbili basi watafutiwa kadi hizo kuelekea hatua za robo fainali.
 
Naamini ulitaka kusema "adictate " mashambulizi na siyo "aditect " mashambulizi.
Kuhusu matokeo ya mchezo, Simba haitaathirika na wachezaji hao kutokuwepo kwani ni mechi ya kukamilisha tu ratiba. Simba tuelekeze nguvu kwenye ligi kuhakikisha hatuna mpinzani kwenye nafasi ya pili.
Tangu lini ukawa mwana Simba Sc??

Kutoka round ya kwanza mpaka hatua ya robo fainali bado kuna dhana ya "mechi ya kukamilisha ratiba"?

Najua mnatafuta namna ya kujifariji, ila mna mengi ya kujifunza kwa Simba.
 
Kwani si tumeshavuka stage moja so kadi zimefutwa na tunaanza upya?? Au sheria zinasemaje???
Kadi zitahesabika hadi hatua hii ya ROBO FAINALI?
Wangekuwa hawajafikia hatua ya kulazimika kutumikia adhabu ya kadi za njano zingefutwa. Wenye kadi mbili za njano zimefutwa, ila wenye tatu za njano au nyekundu zilizopatikana mechi ya mwisho, wanalazimika kutumikia adhabu

1649255129019.png
 
Kwahiyo tuache kujifunza kwa timu kama al ahly au sevilla tuende kwa makolo timu ambayo haina hata makao makuu?
Unataka utopolo wajifunze kwa al ahly wakati haujawai kupata hata point tano kwenye makundi club bingwa au shirikisho ?kuwa na akili ,hauwezi kujifinza kuwa tajiri kupitia dangote na na warren buffet wakati uncle wako yupo na kafanikiwa kipesa kuliko wewe.Jipime akili
 
Wewe ulieweka profile ya chama cha mafisadi na mimi nani apimwe akili?
 
Hapana hapa Nyumbani hatuhitaji kujilinda ,tutashambulia hivyo Wawa no option nzuri zaidi
Unajua mchezo wa counter attack? Kumbuka mechi ya Kagera vs Simba nini kilitokea. Kushambulia bila kujilinda ni sawa sawa na kujilipua
 
Back
Top Bottom