mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hapa inaongelewa team iliyoiletea nchi heshima kwa point 28 kati ya 32,huku ikifuatiwa na Namungo point 2,kisha majinga majinga ya jangwani yamevuna point 0.5 miaka kibao,Simba ni dude kubwa ,jipige kifuani sema simba ni dude kubwa .Hapa ni kujitahidi zibaki hizohizo nne za mwaka jana
Hapana hapa Nyumbani hatuhitaji kujilinda ,tutashambulia hivyo Wawa no option nzuri zaidiKwa onyango lipo ila kwa kanute kuna substitute ya lwanga
Naamini ulitaka kusema "adictate " mashambulizi na siyo "aditect " mashambulizi.Onyango na Kanute watakosekana kutokana na kadi 3 za njano katika mchezo wa mkondo wa kwanza hapa Nyumbani dhidi ya Orlando pirate
Lakini sioni Pengo kwa kuwa mchezo huo utahitaji kushambulia zaidi basi itakuwa vizuri zaidi kwa Kuwa na Wawa ambaye atapush mashambulizi huku mkude akisogea juu zaidi kumuacha Lwanga aditect mashambulizi ya wapinzani.
Sioni Kama hilo ni Pengo kubwa
Sawa Leo saa 2.15Naamini ulitaka kusema "adictate " mashambulizi na siyo "aditect " mashambulizi.
Kuhusu matokeo ya mchezo, Simba haitaathirika na wachezaji hao kutokuwepo kwani ni mechi ya kukamilisha tu ratiba. Simba tuelekeze nguvu kwenye ligi kuhakikisha hatuna mpinzani kwenye nafasi ya pili.
Sheria zinaelekeza kuwa, kama mchezaji ana kadi tatu tayari basi atasimamishwa mchezo mmoja unaofuata. Hivyo, Onyango na Kanoute watakosa mchezo mmoja.Kadi zitahesabika hadi hatua hii ya ROBO FAINALI?
Tangu lini ukawa mwana Simba Sc??Naamini ulitaka kusema "adictate " mashambulizi na siyo "aditect " mashambulizi.
Kuhusu matokeo ya mchezo, Simba haitaathirika na wachezaji hao kutokuwepo kwani ni mechi ya kukamilisha tu ratiba. Simba tuelekeze nguvu kwenye ligi kuhakikisha hatuna mpinzani kwenye nafasi ya pili.
hata ushambulie vipi, kujilinda ni muhimuHapana hapa Nyumbani hatuhitaji kujilinda ,tutashambulia hivyo Wawa no option nzuri zaidi
Kwahiyo tuache kujifunza kwa timu kama al ahly au sevilla tuende kwa makolo timu ambayo haina hata makao makuu?Najua mnatafuta namna ya kujifariji, ila mna mengi ya kujifunza kwa Simba.
Msiruke stage nyinyi utopolo, ukajifunze kwa Al ahly na Sevilla wakati yanayofanywa na jirani yako Simba Sc hujayafikia?Kwahiyo tuache kujifunza kwa timu kama al ahly au sevilla tuende kwa makolo timu ambayo haina hata makao makuu?
Luc Eymael "Yanga ni Nyani na Mbwa" mkamfukuza. Haji manara " mwenye akili yanga ni kikwete tu na mzee haji,wengine wote ni utopolo madish yameyumba"Kwahiyo tuache kujifunza kwa timu kama al ahly au sevilla tuende kwa makolo timu ambayo haina hata makao makuu?
Ndugu Kwanini upate shida kwenda misri na Spain, wakati jiran Yako yupo Hpo kariakoo tu..Kwahiyo tuache kujifunza kwa timu kama al ahly au sevilla tuende kwa makolo timu ambayo haina hata makao makuu?
Kwani si tumeshavuka stage moja so kadi zimefutwa na tunaanza upya?? Au sheria zinasemaje???
Wangekuwa hawajafikia hatua ya kulazimika kutumikia adhabu ya kadi za njano zingefutwa. Wenye kadi mbili za njano zimefutwa, ila wenye tatu za njano au nyekundu zilizopatikana mechi ya mwisho, wanalazimika kutumikia adhabuKadi zitahesabika hadi hatua hii ya ROBO FAINALI?
Unataka utopolo wajifunze kwa al ahly wakati haujawai kupata hata point tano kwenye makundi club bingwa au shirikisho ?kuwa na akili ,hauwezi kujifinza kuwa tajiri kupitia dangote na na warren buffet wakati uncle wako yupo na kafanikiwa kipesa kuliko wewe.Jipime akiliKwahiyo tuache kujifunza kwa timu kama al ahly au sevilla tuende kwa makolo timu ambayo haina hata makao makuu?
Wewe ulieweka profile ya chama cha mafisadi na mimi nani apimwe akili?Unataka utopolo wajifunze kwa al ahly wakati haujawai kupata hata point tano kwenye makundi club bingwa au shirikisho ?kuwa na akili ,hauwezi kujifinza kuwa tajiri kupitia dangote na na warren buffet wakati uncle wako yupo na kafanikiwa kipesa kuliko wewe.Jipime akili
Unajua mchezo wa counter attack? Kumbuka mechi ya Kagera vs Simba nini kilitokea. Kushambulia bila kujilinda ni sawa sawa na kujilipuaHapana hapa Nyumbani hatuhitaji kujilinda ,tutashambulia hivyo Wawa no option nzuri zaidi