Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,140 Reaction score 9,667 Apr 7, 2022 #21 ngajapo said: Kwa onyango lipo ila kwa kanute kuna substitute ya lwanga Click to expand... Uchezaji wa Lwanga na kanoute haufanani.
ngajapo said: Kwa onyango lipo ila kwa kanute kuna substitute ya lwanga Click to expand... Uchezaji wa Lwanga na kanoute haufanani.
Lukub JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,622 Reaction score 4,100 Apr 8, 2022 #22 Yuda Iskariot said: Wewe ulieweka profile ya chama cha mafisadi na mimi nani apimwe akili? Click to expand... Afya ya akili yako lazima ichunguzwe dunia hii kuna chama gani hakuna "mafisadi"?unajua maana ya neno mafisadi?tuanze hapo ndipo utaanza kutambua tatizo la afya ya akili linavyo kutafuna.
Yuda Iskariot said: Wewe ulieweka profile ya chama cha mafisadi na mimi nani apimwe akili? Click to expand... Afya ya akili yako lazima ichunguzwe dunia hii kuna chama gani hakuna "mafisadi"?unajua maana ya neno mafisadi?tuanze hapo ndipo utaanza kutambua tatizo la afya ya akili linavyo kutafuna.