SIONI SABABU YA KUSHANGILIA MWAKA MPYAAA

Chrix_Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
880
Reaction score
1,100
Matatizo yale yale tu madeni yale yale tu sio kusema et mwaka mpya basi maden yataisha au matatizo yataisha.... Hapa wengine ndo kwanzaaa wanawaza kodi za majumba ada za watoto hahahaha kazi mnayoooo nyie sherekeeeni kesho tukutane hapa hapa kwenye mikopoooo YAJAYO YANAFURAHISHAAA UPOOO TAYAAARI[emoji23]View attachment VID-20190102-WA0004.mp4
 
LAKINI MKUU MITATIZO HAIISHI, SO UKIENDEKEZA SANA NA KUJITIA STRESS ITAKUA HAUENDI MBELE, MATATIZO NA SHIDA NI MOJA KTK MAISHA HASA KWA SISI WAAFRIKA, UNAPOPATA NAFASI YA KUFURAHI WW FURAHI TU COZ PENGINE NDIO NAFASI HIO TU KWENYE LIFE YAKO YOTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha mzee baba hatariiii lkn salamaa[emoji41] mie kwang naona kilichonadilika ni mwaka na tarehe tuu ila mambo ni yale yale maisha ni yale yale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…