Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Mbunge Lisu baada ya kupona majeruhi yake ametangaza kwa mbwembwe kuanza ziara ya kuichafua nchi yake Tanzania huko barani Ulaya na USA.
Lisu ametangaza wazi lengo la ziara yake ni kwenda kushawishi nchi wahisani ziinyime misaada Tanzania!
Lisu anasahau kuwa Tanzania ikinyimwa misaada hata wananchi wake waliompigia kura kule Singida nao watakufa njaa vibaya sana.
Lisu amepigwa risasi na kikundi kidogo cha watu lakini anahukumu taifa zima wakiwemo wapiga kura wake wa Singida nao waisome namba eti kisa tu yeye alishambuliwa kwa risasi!! Hivi Tanzania aliyepigwa risasi ni Lisu tu??
Hata hivyo pamoja na nia ovu ya Lisu bado Mungu yupo pamoja na watanzania baada ya ziara ya Lisu kupuuzwa na vyombo vya habari vya kimataifa vikiwemo vya hao wazungu aliokimbilia kwenda kujipendekeza kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app