Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Elewa tofauti iliyopo Kati ya Kiongozi na Mtawala..

Nchi nyingi zaidi za Afrika, karibia nchi zote kuna Watawala, wakati nchi nyingi sana nje ya bara la Afrika kuna Viongozi, nchi chache tu huko ndizo zina Watawala.

Viongozi Mara nyingi sana huwa ni Watumishi wa Umma, wakati Watawala wote kabisa daima huwa Wanawatumikisha Umma ili kujinufaisha wao wenyewe binafsi pamoja na Vibaraka wao. Katika muktadha huu, Watawala huwa Wanakuwa na Uadui mkubwa dhidi ya Umma, na Viongozi daima huwa wana Urafiki mkubwa na ukaribu zaidi na umma. That's why unaona kwamba Watawala muda wote wanakuwa na Ulinzi mkali Sana sambamba na kutembea na silaha nzito mikononi mwao.
 
Baada ya shida na tabu nyingi wakaamka usingizini wakaamua liwalo na liwe wakaipiga chini "CCM" yao. Sasa hivi wanajenga taifa lao kwa nguvu moja.
Wewe mpiga domo hii ni ndoto mbaya sana kwako, unasali sala zote uendelee kulamba miguu
 
Laurent Kabila alishindwa kujitetea kwa kuwa hakuwa na silaha mkononi, vinginevyo wale walinzi walipoanza kumlenga na bunduki, wangekiona cha moto.
Kikulacho ki nguoni mwako
 
Leo kimekupata nini ndugu yangu? huyu wa kwetu huwa huoni ksafara wake wa magari 200 + na kila aina ya mazagazaga? Barabara zinafungwa hata masaa 3 kumpisha...huyu wetu ana tofauti gani na huyo uliye mtaja?
 
Mimi nilifikiri umepingana na mama yako huyo unayedai amewafikia watu wakati wewe unateseka huku na hakuoni.
 
lucas hauna akili wewe kwa nini usiongelee nchi yako ya kusifia sifia ile ni nchi ya watu wenye kujitambua don’t trust any one sembese yeye acha ajilinde
 
Nilijua ni Mama Samia
 
Unachoweza ni kuwapinga viongozi wa Nchi zingine ni kosa gani kwa Rais aliepindua kijeshi kuwa na siraha wewe tupe habari za mbegu za maharage huko mbalizi tukuelewe..
Kwani yeye ndiye wa kwanza kufanya hivyo kupindua serikali?
 
lucas hauna akili wewe kwa nini usiongelee nchi yako ya kusifia sifia ile ni nchi ya watu wenye kujitambua don’t trust any one sembese yeye acha ajilinde
Kwani umeona Rais wetu akitembea huko Duniani akiwa ameweka silaha kama huyo Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…